Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ford yazindua baiskeli ya kielektroniki

Kampuni ya kutengeza magari ya Ford imezindua baiskeli ya kutumia umeme

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya I&M yazindua huduma ya kwanza ya mfumo wa Kielektroniki ya masaa 24 jijini Dar

1

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha  (kushoto) akiongea na wadau wa benki hiyo hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa tawi  na mfumo mpya wa kielektroniki uliovumbuliwa na Smart Banking Solutions Ltd ambapo mteja anaweza kuweka na kutoa pesa  sambamba na kupata huduma nyingine za kibenki kama kubadilisha fedha za kigeni kwa kutumia mashine za kielektroniki masaa 24 ya siku.Hafla hiyo ilifanyika Viva Tower-Posta jijini Dar es Salaam, Kulia ni Meneja wa I&M wa tawi hilo Bi. Shabina...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA I&M YAZINDUA HUDUMA YA KWANZA YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI YA MASAA 24 KATIKA JENGO LA VIVA TOWERS, JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa VIVA Tower Viral Manek, akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa tawi jipya la Benki ya I&M katika jengo hilo litakalotoa huduma masaa 24, kwa kuweka na kutoa fedha na kubadilisha fedha za kigeni kwa kutumia mfumo mpya wa mashine za kieletroniki (ATMs). Kushoto ni mkurugenzi mkuu wa benki hiyo, Bw. Anurag Doreha, Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha (katikati) akifafanua jambo baada ya uzinduzi wa tawi jipya la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung yazindua Samsung Galaxy Note 4 Tanzania

Image 1

Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akiwahutubia wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa  Terrace, Slip way.

Baada ya kusubiriwa miezi kadhaa, Kampuni ya kielektroniki ya  Samsung  Tanzania imeongeza  rasmi mwanafamilia mpya katika simu aina ya Note.  Tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Terrace , Slipway ni alama ya uzinduzi rasmi na upatikanaji wa Samsung Galaxy Note  4 katika soko...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini

Ministry_of_Energy_and_Minerals_Building,_Dar_es_Salaam,_Tanzania

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Viingilio Sabasaba Kielektroniki

001 SABAZ

Meneja bidhaa na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Moses Krom  akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusiana na kulipia viingilio kwa njia ya M-Pesa katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba)Dar es Salaam yatakayo anza rasmi kesho na kumalizika julai 8 mwaka huu. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa TanTrade, Anna Bulando.

003 SABAZ

Kaimu Mkurugenzi wa TanTrade, Anna  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na kulipia viingilio kwa njia ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tiketi za kielektroniki zasitishwa

Serikali ya Tanzania imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa uliopo kuanzia Machi 3, 2015

 

10 years ago

BBCSwahili

Vitambulisho vya kielektroniki kutumika TZ

Tanzania, ambayo pia ni mwanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki bado haijaanza matumizi ya vitambulisho hivyo na utoaji wake unaendelea.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kununua mafuta kielektroniki

SERIKALI itaanzisha mfumo mpya wa kielektroniki wa kununua, kutunza na kuuza mafuta yanayotumika katika magari yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani