Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tiketi za kielektroniki zasitishwa

Serikali ya Tanzania imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa uliopo kuanzia Machi 3, 2015

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Matumizi ya tiketi za kielektroniki yanahitajika

>Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wiki iliyopita lilisitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vyote vinavyotumika kwa mechi za Ligi Kuu bara mpaka itakapotolewa taarifa nyingine.

 

10 years ago

Mwananchi

Klabu zalia tiketi za kielektroniki

Baadhi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu zimelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Benki ya CRDB kutatua au kusitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kutokana na changamoto zinazojitokeza.

 

11 years ago

Mwananchi

Msimu ujao tiketi za kielektroniki zitumike

Mwanzoni mwa mwezi wa Februari Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilisitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vyote vinavyotumika kwa mechi za Ligi Kuu Bara mpaka itakapotolewa taarifa nyingine.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau waipinga TFF kusimamisha tiketi za kielektroniki

>Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusimamisha matumizi ya tiketi za elektroniki badala kupambana na  changamoto hizo.

 

9 years ago

Mwananchi

Tunataka tiketi za kielektroniki mzunguko wa pili wa ligi

Mwanzoni mwa mwaka jana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilisitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vyote vinavyotumika kwa mechi za Ligi Kuu Bara mpaka itakapotolewa taarifa nyingine.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali kuzungumzia tiketi za kielektroniki, TFF yamua

Wakati Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limepiga kalenda matumizi ya tiketi za elektroniki, Serikali imepanga kutoa tamko kuhusu mfumo huo wiki ijayo.

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAZINDUA MFUMO UKATAJI TIKETI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI

Shirika la Reli Tanzania – TRC lazindua rasmi mfumo mpya wa ukataji tiketi kwa njia ya kielekroniki katika hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi ya Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam Aprili 4, 2020.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwele, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRC Prof. John Wajanga Kondoro, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Ndugu Focus ,Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao Bwana Benedictor...

 

11 years ago

Habarileo

Safari za treni TRL zasitishwa

UONGOZI wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) umesitisha safari za treni ya abiria kutokana na kutetereka kwa mojawapo ya madaraja katika Bonde la Mto Ruvu katika reli ya kati.

 

9 years ago

BBCSwahili

Shughuli za kutafuta ndege zasitishwa

Utawala nchini Indonesia unasema kuwa hali mbaya ya hewa imezuia utafutaji wa ndege iliyoanguka mashariki mwa Papua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani