Serikali kuzungumzia tiketi za kielektroniki, TFF yamua
Wakati Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limepiga kalenda matumizi ya tiketi za elektroniki, Serikali imepanga kutoa tamko kuhusu mfumo huo wiki ijayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Wadau waipinga TFF kusimamisha tiketi za kielektroniki
>Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusimamisha matumizi ya tiketi za elektroniki badala kupambana na changamoto hizo.
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Tiketi za kielektroniki zasitishwa
Serikali ya Tanzania imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa uliopo kuanzia Machi 3, 2015
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Matumizi ya tiketi za kielektroniki yanahitajika
>Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wiki iliyopita lilisitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vyote vinavyotumika kwa mechi za Ligi Kuu bara mpaka itakapotolewa taarifa nyingine.
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Klabu zalia tiketi za kielektroniki
Baadhi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu zimelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Benki ya CRDB kutatua au kusitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kutokana na changamoto zinazojitokeza.
11 years ago
Mwananchi09 Jun
Msimu ujao tiketi za kielektroniki zitumike
Mwanzoni mwa mwezi wa Februari Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilisitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vyote vinavyotumika kwa mechi za Ligi Kuu Bara mpaka itakapotolewa taarifa nyingine.
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Tunataka tiketi za kielektroniki mzunguko wa pili wa ligi
Mwanzoni mwa mwaka jana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilisitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vyote vinavyotumika kwa mechi za Ligi Kuu Bara mpaka itakapotolewa taarifa nyingine.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yJIhgJSKIn0/XoiguqGYCcI/AAAAAAALmBo/MmNOhuoQIjkjDNe8_YBpzD1V39DsqeHGwCLcBGAsYHQ/s72-c/1df05553-8bae-4095-a59d-5876c22fb981.jpg)
SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAZINDUA MFUMO UKATAJI TIKETI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI
Shirika la Reli Tanzania – TRC lazindua rasmi mfumo mpya wa ukataji tiketi kwa njia ya kielekroniki katika hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi ya Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam Aprili 4, 2020.
Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwele, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRC Prof. John Wajanga Kondoro, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Ndugu Focus ,Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao Bwana Benedictor...
Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwele, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRC Prof. John Wajanga Kondoro, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Ndugu Focus ,Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao Bwana Benedictor...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
TFF kutoa somo tiketi za elektroniki
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linatarajiwaa kutoa elimu kwa mashabiki juu ya matumizi ya tiketi za kielektroniki zinazotarajiwa kuanza kutumika rasmi katika raundi ya lala salama ya Ligi Kuu Tanzania...
11 years ago
Mwananchi05 Feb
TFF, TPLB warudisha tiketi za analojia
Dar es Salaam. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi (TPLB) wamesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki hadi msimu ujao baada ya mfumo wa kubaini tiketi halali na feki (Turnstile) kushindwa kufanya kazi vizuri.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania