Matumizi ya tiketi za kielektroniki yanahitajika
>Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wiki iliyopita lilisitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vyote vinavyotumika kwa mechi za Ligi Kuu bara mpaka itakapotolewa taarifa nyingine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Tiketi za kielektroniki zasitishwa
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Klabu zalia tiketi za kielektroniki
11 years ago
Mwananchi09 Jun
Msimu ujao tiketi za kielektroniki zitumike
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Wadau waipinga TFF kusimamisha tiketi za kielektroniki
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Serikali kuzungumzia tiketi za kielektroniki, TFF yamua
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Tunataka tiketi za kielektroniki mzunguko wa pili wa ligi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yJIhgJSKIn0/XoiguqGYCcI/AAAAAAALmBo/MmNOhuoQIjkjDNe8_YBpzD1V39DsqeHGwCLcBGAsYHQ/s72-c/1df05553-8bae-4095-a59d-5876c22fb981.jpg)
SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAZINDUA MFUMO UKATAJI TIKETI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI
Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwele, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRC Prof. John Wajanga Kondoro, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Ndugu Focus ,Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao Bwana Benedictor...
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Serikali yakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu matumizi ya Mashine za Kielektroniki( EFD’s)
Kaimu Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjanga akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) kuhusu Taaarifa za Upotoshaji kuwa matumizi ya mashine za kielektroniki(EFD’s) yamesitishwa ila mashine hizo zinaendelea kutumika kwa mujibu wa Sheria na wafanyabiashara wanapaswa kuendelea kuzitumia il kuisaidia serikali katika ukusanyaji wa Kodi. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka hiyo Bi Oliver Njunwa.
Baadhi ya Waandishi wa...
10 years ago
MichuziSERIKALI YASITISHA MATUMIZI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI TAIFA
Uamuzi huo umetangazwa leo (Machi 3, 2015) jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Juma Nkamia mbele ya viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benki ya CRDB. IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)