Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FRANK: NIKIPATA UBUNGE, NITAACHA SANAA

Mohamed Mwikongi, 'Frank'. MOHAMMED Mwikongi, maarufu kwa jina la Frank, ni miongoni mwa mastaa wakali wa kitambo kwenye tasnia ya sanaa ya maigizo hapa nchini.Alianza kutikisa kwenye anga la sanaa hiyo akiwa kwenye Kundi la Kaole Sanaa ambalo kwa sasa linajulikana kama Kaone, kabla ya kuhamia kwenye filamu. staa huyu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu akiwa kama mmoja wa wadau wanaopenda siasa, ameamua kujitosa katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki

20150123_123538

MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma  kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea  ubunge katika jimbo la Iringa mjini.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa,  wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.

Msanii huyo Richard Kayombo  ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...

 

11 years ago

Mwananchi

Dhana ya kikwetu kwetu itasaidia sanaa sanaa

Ukifikiria umoja, halafu ukitaka kuleta ubinafsi ndani yake, huku ukiangalia dhana yenyewe kwa juu juu unaweza ukahisi unachanganya mambo, lakini ukikaa kwa umakini na kuzitekeleza dhana hizi kwa utaratibu, utajikuta kwenye mafanikio makubwa sana.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Nikipata laki moja ya mtaji nimetoka’

>Nje   ya  nyumba  yupo   mtoto  mdogo   akiwa amelala juu ya kipande cha mkeka. Kwa kumtazama tu utajua anasumbuliwa na maradhi kadhaa kutokana na afya yake kudorora.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Nikipata viungo bandia naacha kuwa ombaomba’

>Si kila ombaomba aliye katika mitaa ya jijini Dar es Salaam au majiji na miji mingine nchini anatoka mkoani Dodoma.

 

9 years ago

Global Publishers

Esha: nikipata tatizo team diamond itahusika

ESHA35 Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buhet.

Stori: Imelda Mtema
Chokochoko! Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buhet amefunguka kuwa endapo atakumbwa na tatizo lolote basi timu ya Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Team Diamond itahusika.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Esha alisema kuwa chokochoko zilianza alipoposti picha za Ali Kiba mtandaoni ambapo Team Diamond walianza kumtukana na kumwambia watamfanyia kitu mbaya.

 

9 years ago

GPL

PENNY: NIKIPATA BABA BORA NAZAA ‘SOON’

Hosti wa Kipindi cha Bongo Star Search, Penniel Mingilwa ‘Penny’. Na imelda mtema
Hosti wa Kipindi cha Bongo Star Search, Penniel Mingilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa suala la kupata mtoto lipo kwenye akili yake lakini litatimia tu endapo atapata baba bora. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi kwa sasa Penny alisema kuwa, hawezi kuyaanika kwa sasa ila ukweli ni kwamba hamu ya kuitwa mama anayo na anaamini...

 

5 years ago

Michuzi

HUSSEIN MAKUNGU 'BHAA' "NIKIPATA URAIS NITAKUZA UCHUMI WA ZANZIBAR NA AJIRA KWA VIJANA


NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR

MWAKILISHI wa Jimbo la Mtoni na Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya
 Muungano, kupitia nafasi tano za Uwakilishi, Mhe. Hussein Ibrahim Makungu maarufu "Bhaa' amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.

Bhaa amepongeza Demokrasia ndani ya CCM kwa wenye sifa kujitokeza kuwania nafasi hiyo nyeti na endapo atapitishwa kugombea Urais ameahidi ataleta mageuzi ya kiuchumi na ajira kwa Vijana huku kudumisha Muungano uliopo...

 

10 years ago

GPL

FRANK: RIYAMA ANANIZIBIA!

Nyota wa filamu za Kibongo, Mohammed Mwikongi maarufu kama Frank. Stori: Hamida Hassan na Shani Ramadhani
NYOTA wa filamu za Kibongo, Mohammed Mwikongi maarufu kama Frank, amedai kuwa msanii mwenzie Riyama Ally anamzibia riziki kiasi kwamba sasa anamsaka ili amweleze kitu gani aliwahi kumkosea. Akizungumza jijini hivi karibuni, Frank alisema anamtafuta Riyama ili aweze kumwambia ni kwa nini inakuwa hivyo kwa sababu katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani