Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENNY: NIKIPATA BABA BORA NAZAA ‘SOON’

Hosti wa Kipindi cha Bongo Star Search, Penniel Mingilwa ‘Penny’. Na imelda mtema
Hosti wa Kipindi cha Bongo Star Search, Penniel Mingilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa suala la kupata mtoto lipo kwenye akili yake lakini litatimia tu endapo atapata baba bora. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi kwa sasa Penny alisema kuwa, hawezi kuyaanika kwa sasa ila ukweli ni kwamba hamu ya kuitwa mama anayo na anaamini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Save the Children, EU waanzisha kampeni ya Baba Bora

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Save the Children kwa kushirikiana na Jumuiya ya Ulaya (EU), wameanzisha kampeni ya ‘Baba Bora’ inayolenga kuwahamasisha wanaume kushiriki katika malezi na kutetea haki za watoto na wanawake.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mume kanikimbia kisa nazaa sana’

“Sitasahau siku niliyokimbiwa na mume wangu baada ya kumzalia pacha kwa mara ya tatu mfululizo.” Hii ni kauli ya Salome Paul Mhando, mama wa watoto sita ambao ni pacha, aliowazaa kwa nyakati tofauti katika kipindi cha miaka sita iliyopita, wakipishana miaka miwili miwili.

 

11 years ago

GPL

LULU: ...SIFANYI TENA KOSA, NAZAA TU!

Stori: Shakoor Jongo STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. Katika mahojiano maalum na gazeti hili juzikati, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Ijumaa: Kwani kwa sasa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Nikipata laki moja ya mtaji nimetoka’

>Nje   ya  nyumba  yupo   mtoto  mdogo   akiwa amelala juu ya kipande cha mkeka. Kwa kumtazama tu utajua anasumbuliwa na maradhi kadhaa kutokana na afya yake kudorora.

 

9 years ago

GPL

FRANK: NIKIPATA UBUNGE, NITAACHA SANAA

Mohamed Mwikongi, 'Frank'. MOHAMMED Mwikongi, maarufu kwa jina la Frank, ni miongoni mwa mastaa wakali wa kitambo kwenye tasnia ya sanaa ya maigizo hapa nchini.Alianza kutikisa kwenye anga la sanaa hiyo akiwa kwenye Kundi la Kaole Sanaa ambalo kwa sasa linajulikana kama Kaone, kabla ya kuhamia kwenye filamu. staa huyu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu akiwa kama mmoja wa wadau wanaopenda siasa, ameamua kujitosa katika...

 

9 years ago

Global Publishers

Esha: nikipata tatizo team diamond itahusika

ESHA35 Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buhet.

Stori: Imelda Mtema
Chokochoko! Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buhet amefunguka kuwa endapo atakumbwa na tatizo lolote basi timu ya Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Team Diamond itahusika.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Esha alisema kuwa chokochoko zilianza alipoposti picha za Ali Kiba mtandaoni ambapo Team Diamond walianza kumtukana na kumwambia watamfanyia kitu mbaya.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Nikipata viungo bandia naacha kuwa ombaomba’

>Si kila ombaomba aliye katika mitaa ya jijini Dar es Salaam au majiji na miji mingine nchini anatoka mkoani Dodoma.

 

5 years ago

Michuzi

HUSSEIN MAKUNGU 'BHAA' "NIKIPATA URAIS NITAKUZA UCHUMI WA ZANZIBAR NA AJIRA KWA VIJANA


NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR

MWAKILISHI wa Jimbo la Mtoni na Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya
 Muungano, kupitia nafasi tano za Uwakilishi, Mhe. Hussein Ibrahim Makungu maarufu "Bhaa' amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.

Bhaa amepongeza Demokrasia ndani ya CCM kwa wenye sifa kujitokeza kuwania nafasi hiyo nyeti na endapo atapitishwa kugombea Urais ameahidi ataleta mageuzi ya kiuchumi na ajira kwa Vijana huku kudumisha Muungano uliopo...

 

9 years ago

Global Publishers

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-5

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA:

“Sasa niwe nyumba ndogo yako baba Pili si utakuwa unapata shida? Mimi najua nyumba ndogo lazima iwe free…ukitaka kwenda unakwenda muda wowote ule.”
“Hapana si lazima…unaweza kuwa mke wa mtu halafu bado ukawa nyumba ndogo yangu,” alifafanua baba Pili akionekana yuko siriasi kabisa na maneno yake…
JIACHIE MWENYEWE…

“Mh! Mimi nadhani au napendekeza tuendelee kuwa kama hivi…marafiki wakubwa lakini wa siri…mume wangu baba Pilima asijue wala mke wako mama Pili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani