Save the Children, EU waanzisha kampeni ya Baba Bora
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Save the Children kwa kushirikiana na Jumuiya ya Ulaya (EU), wameanzisha kampeni ya ‘Baba Bora’ inayolenga kuwahamasisha wanaume kushiriki katika malezi na kutetea haki za watoto na wanawake.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo02 Sep
Waanzisha kampeni ya amani
TAASISI ya Suleiman Kova Security and Disaster Management (SUKOS) imeanzisha kampeni maalumu ya kudumisha amani na upendo. Kampeni hiyo inakuja baada ya wadau wa taasisi hiyo kusema kuwa wameona nchi imeanza kuonesha viashiria vya kutoweka kwa amani kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa ajira pamoja na ugumu wa maisha.
10 years ago
TheCitizen14 May
Help parents, save children
10 years ago
Habarileo05 Oct
Mviwata waanzisha kampeni ya afya katika masoko yake
MTANDAO wa vikundi vya wakulima nchini (Mviwata)- tawi la Mkoa wa Rukwa umeanzisha mpango wa upimaji kwa hiyari afya kwa kila mkulima anayefanya biashara kwenye vituo vya masoko ya mtandao huo.
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Wafanya biashara wa chakula mkoa wa Dar Es Salaam waanzisha jumuiya ya Mama na Baba lishe!
Baadhi ya akina mamalishe na babalishe wakiwa katika moja ya majumuiko yao (Picha kwa msaada wa mtandao wa Global Publisher.
Na Rabi Hume
Wafanya biashara wa kuuza chakula katika mkoa wa Dar es Salaam wameanzisha jumuiya ya wafanya biashara hao ikiwa na lengo la kuunganisha wafanyabiashara hao, kulinda haki zao na kuzitafutia ufumbuzi wapatapo tatizo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Ramadhani Mhonzu amesema kuwa wameamua kuanzisha jumuiya hiyo ili iweze...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82616000/jpg/_82616308_rwandachildren_getty_467246888.jpg)
10 years ago
TheCitizen19 Dec
EDITORIAL: We must save children from wayward parents
5 years ago
Morocco World News01 Apr
Save the Children: Coronavirus Could Kill Millions in Sub-Saharan Africa
9 years ago
Dewji Blog20 Sep
Save the Children yaikabidhi pikipiki tano Wizara ya Afya Zanzibar
Mwakilishi wa Shirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children) Mali lisson akimkabidhi funguo za pikipiki tano, Naibu waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo
kwa ajili ya wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono wa wilaya katika hafla iliyofanyika wizara ya Afya mnazimmoja mjini Zanzibar. (picha zote na Miza Othman –maelezo zanzibar).
Naibu waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitia saini baada ya kupokea
pikipiki tano kwa ajili ya kuwarahisishia kazi wakuu wa vitengo vya...
9 years ago
Bongo507 Jan
Mashabiki wa Alikiba shingoni mwa MTV Base, waanzisha kampeni ya kuitaka icheze video zake
![12362286_1753528134868355_448805419_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/12362286_1753528134868355_448805419_n-300x194.jpg)
MTV Base hawapumui sababu mashabiki wa Alikiba wapo shingoni mwao.
Hilo limekuja baada ya tawi lake la Afrika Mashariki, MTV Base East kuanzisha shindano dogo kwenye Twitter (Face Off Tanzania) wakiwataka mashabiki kumtaja msanii aliyefanya vizuri Tanzania mwaka 2015 na kuwaweka Alikiba, Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz.
Watu zaidi ya 1500 walipiga kura na Alikiba alishinda mtanange huo kama inavyoonekana hapo chini.
#FaceOff Tanzania Who ruled 2015?
— MTV Base East (@MTVBaseEast)...