Waanzisha kampeni ya amani
TAASISI ya Suleiman Kova Security and Disaster Management (SUKOS) imeanzisha kampeni maalumu ya kudumisha amani na upendo. Kampeni hiyo inakuja baada ya wadau wa taasisi hiyo kusema kuwa wameona nchi imeanza kuonesha viashiria vya kutoweka kwa amani kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa ajira pamoja na ugumu wa maisha.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Nov
Save the Children, EU waanzisha kampeni ya Baba Bora
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Save the Children kwa kushirikiana na Jumuiya ya Ulaya (EU), wameanzisha kampeni ya ‘Baba Bora’ inayolenga kuwahamasisha wanaume kushiriki katika malezi na kutetea haki za watoto na wanawake.
10 years ago
Habarileo05 Oct
Mviwata waanzisha kampeni ya afya katika masoko yake
MTANDAO wa vikundi vya wakulima nchini (Mviwata)- tawi la Mkoa wa Rukwa umeanzisha mpango wa upimaji kwa hiyari afya kwa kila mkulima anayefanya biashara kwenye vituo vya masoko ya mtandao huo.
9 years ago
Bongo507 Jan
Mashabiki wa Alikiba shingoni mwa MTV Base, waanzisha kampeni ya kuitaka icheze video zake
![12362286_1753528134868355_448805419_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/12362286_1753528134868355_448805419_n-300x194.jpg)
MTV Base hawapumui sababu mashabiki wa Alikiba wapo shingoni mwao.
Hilo limekuja baada ya tawi lake la Afrika Mashariki, MTV Base East kuanzisha shindano dogo kwenye Twitter (Face Off Tanzania) wakiwataka mashabiki kumtaja msanii aliyefanya vizuri Tanzania mwaka 2015 na kuwaweka Alikiba, Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz.
Watu zaidi ya 1500 walipiga kura na Alikiba alishinda mtanange huo kama inavyoonekana hapo chini.
#FaceOff Tanzania Who ruled 2015?
— MTV Base East (@MTVBaseEast)...
9 years ago
Dewji Blog05 Dec
PSPF waanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa kuhamasisha wanachama wake!
![](http://3.bp.blogspot.com/-zDzQydVn6iw/VlnL1taDRUI/AAAAAAABZXk/KALo3gV627Y/s640/vlcsnap-2015-11-28-17h41m47s240.png)
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
Tunataka kampeni za amani
MWISHONI mwa wiki hii, vyama vya siasa vitazindua rasmi kampeni zao kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa
Ezekiel Kamwaga
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Kampeni zizingatie kulinda amani
KESHO ndio mwanzo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ambapo mbali na wagombea urais, pia wagombea wa ubunge na udiwani wataanza kujinadi na kuomba ridhaa ya wananchi kuwa viongozi wao.
Ni siku 64 za vumbi kutimka kila kona ya nchi yetu huku kwa mara nyingine taifa hili la pili kwa ukubwa kiuchumi; la kwanza kwa ukubwa wa eneo na wingi wa watu Afrika Mashariki, likishuhudia kutekelezwa kwa demokrasia ya kuchaguana.
Kwa kawaida kwa nchi nyingi za Kiafrika, kipindi kama...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Uf5Jdma8M30uxCsq9iebCQv-gRy-4wz4j5Ob4lQ4Exg8JNYeg*-8gTGCBYF13*1tr9nPMHhLfrm1GaaN64VmFRtVJXwS5xYE/11.jpg?width=650)
TUNATAKA KAMPENI ZA AMANI NCHINI KOTE
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Kampeni ya amani Chuo kikuu cha Garissa
9 years ago
Mwananchi23 Aug
Polisi, vyama wajadili amani katika kampeni