Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNATAKA KAMPENI ZA AMANI NCHINI KOTE

Tuanze makala haya kwa kumsifu Mungu, muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana katika dunia hii. Hakika tumhimidi daima huku tukimuomba atuzidishie maarifa ya kutambua umoja wetu na amani katika taifa letu. Hivi sasa vyama vya siasa vipo katika kampeni zao kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25. Hili ni zoezi muhimu katika nchi zote zinazoheshimu misingi ya utawala bora na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Tunataka kampeni za amani

MWISHONI mwa wiki hii, vyama vya siasa vitazindua rasmi kampeni zao kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa

Ezekiel Kamwaga

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi wa Apex Group aomba wananchi kudumisha Amani na Utulivu katika Uchaguzi Mkuu utakao fanyika kesho nchini kote

Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex Group na Mwanaharakati,  Joseph Mhonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho nchini kote. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara Habari Maelezo, Vicent Tiganya (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex...

 

9 years ago

Vijimambo

MKURUGENZI WA MAKAMPUNI YA APEX GROUP AOMBA WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU KATIKA UCHAGUZI MKUU UTAKAO FANYIKA KESHO KUTWA KOTE NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex Group na Mwanaharakati,  Joseph Mhonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho nchini kote. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara Habari Maelezo, Vicent Tiganya (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex Group na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunataka uchaguzi wa amani

WAKATI wananchi wa kata 27 kutoka halmashauri mbalimbali nchini wakisubiri kupiga kura Jumapili ijayo kuwachagua madiwani wa kata zao, taarifa za kuwepo kwa vurugu kwenye kampeni hizo zinasikika na kusababisha...

 

11 years ago

Mtanzania

Mama Pinda: Wanawake wote tunataka amani

Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda

Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda

NA MWANDISHI WETU, SEOUL

MKE wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda, amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka.

Mama Pinda alitoa wito huo jana wakati akitoa mada kama mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wa dunia wa siku tano ulioanza Seoul, Korea Kusini jana.

Mkutano huo ambao umeandaliwa na Taasisi ya Universal Peace Federation (UPF) ambayo inatoa ushauri kwenye Baraza...

 

9 years ago

Raia Mwema

Wasomi tusijipendekeze kote kote, tutaanguka

Mhadhara huu utajikita kwenye mjadala juu ya mambo ambayo yanafaa kuzungumziwa na kubishaniwa kat

Issa Shivji

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi aagiza upimaji ardhi kote nchini

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameziagiza halmashauri nchini kuharakisha upimaji wa ardhi na mashamba katika maeneo ya wananchi ambao ndio wamiliki wa asili wa maeneo hayo ili kuondoa migogoro ya ardhi inayosababisha wananchi kuichukia Serikali yao.

 

5 years ago

Michuzi

NIDA Yaendelea na Shughuli za Usajili na Utambuzi wa Watu Nchini Kote



Maafisa usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) wakiendelea kutoa huduma za usajili kwa wananchi katika ofisi za Wilaya za Mamlaka hiyo katika Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam huku tahadhari za maambukizi ya virusi vya Corona ikiendelea kuzingatiwa kikamilifu.

 Na Agnes GerladMamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inaendelea na shughuli za Usajili na Utambuzi wa Watu nchini kote ambapo wananchi wanaendelea kupatiwa huduma katika ofisi za Usajili za NIDA zilizoko katika...

 

10 years ago

Bongo5

Weusi wapanga kujenga maktaba 100 nchini kote ili wanafunzi wajisomee

Weusi wanaendelea kufikia ‘Nje ya Box’ kila kukicha. Kundi hilo linatarajia kushirikiana na Watanzania kujenga maktaba 100 katika vijiji mbalimbali vya Tanzania ili kuwahamasisha wanafunzi kujisomea. Msemaji wa kundi hilo, Nick wa Pili ameiambia 255 ya kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa kundi hilo lilikuwa na mpango huo kwa miaka mingi na sasa unakaribia […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani