Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi tusijipendekeze kote kote, tutaanguka

Mhadhara huu utajikita kwenye mjadala juu ya mambo ambayo yanafaa kuzungumziwa na kubishaniwa kat

Issa Shivji

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

TUNATAKA KAMPENI ZA AMANI NCHINI KOTE

Tuanze makala haya kwa kumsifu Mungu, muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana katika dunia hii. Hakika tumhimidi daima huku tukimuomba atuzidishie maarifa ya kutambua umoja wetu na amani katika taifa letu. Hivi sasa vyama vya siasa vipo katika kampeni zao kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25. Hili ni zoezi muhimu katika nchi zote zinazoheshimu misingi ya utawala bora na...

 

11 years ago

Habarileo

‘Wanawake duniani kote hawapendi vita’

MKE wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda amesema wanawake wote duniani hawapendi vita wala machafuko na hulilia amani kwani machafuko husababisha kutoweka kwa amani kuanzia ngazi ya familia na kuleta vifo vya watu wasio na hatia.

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi aagiza upimaji ardhi kote nchini

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameziagiza halmashauri nchini kuharakisha upimaji wa ardhi na mashamba katika maeneo ya wananchi ambao ndio wamiliki wa asili wa maeneo hayo ili kuondoa migogoro ya ardhi inayosababisha wananchi kuichukia Serikali yao.

 

5 years ago

Michuzi

NIDA Yaendelea na Shughuli za Usajili na Utambuzi wa Watu Nchini Kote



Maafisa usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) wakiendelea kutoa huduma za usajili kwa wananchi katika ofisi za Wilaya za Mamlaka hiyo katika Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam huku tahadhari za maambukizi ya virusi vya Corona ikiendelea kuzingatiwa kikamilifu.

 Na Agnes GerladMamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inaendelea na shughuli za Usajili na Utambuzi wa Watu nchini kote ambapo wananchi wanaendelea kupatiwa huduma katika ofisi za Usajili za NIDA zilizoko katika...

 

11 years ago

Michuzi

salamu za pasaka toka globu ya jamii kwa wadau duniani kote

Uongozi wa Michuzi Media Group na watendaji wote unawatakia wadau wa Globu ya Jamii kila pembe ya dunia PASAKA njema. Furaha yenu ndio furaha yetu, na BWANA awabariki afya njema.

 

9 years ago

Dewji Blog

OCTOPIZZO: Afanya bonge la tour Ulaya na kupagawisha mashabiki wake Ulimwenguni kote

10947251_10153309815948842_3623688949296333827_n

En route with Excitement to a 1 week #London #LDPCTour & Business Collaboration proudly sponsored by the British Council Kenya @tonyreilly5, @HCCTurner @ke_British British Council Kenya

Rapper   kutokea  eneo la Kibera Nchini Kenya,  Octopizzo  ambaye tokea mwezi ulioisha wa Septemba amekuwa kwenye ziara maalum katika Bara la Ulaya akipiga ‘Tour’ maalum ya  kimuziki na harakati mbalimbali kama Balozi wa vijana akipigwa tafu na British Council ameweza kukonga nyoyo mashabiki wake waliopo...

 

5 years ago

CCM Blog

MARASIMU YA MAOMBOLEZO YA 40 YA SHAHIDI LUTENI JENERALI SOLEIMANI YAFANYIKA KOTE NCHINI IRAN

Marasimu ya maombolezo ya 40 ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani yafanyika kote nchini Iran Marasimu ya maombolezo ya arubaini ya shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ( SEPAH) yamefanyika leo kote nchini Iran kwa kuhudhuriwa na umati mkubwa wa matabaka mbalimbali ya wananchi.Kamanda shahidi Qassem Soleimani ambaye tarehe Tatu Januari mwaka huu alielekea Iraq kwa mwaliko rasmi wa viongozi wa nchi hiyo aliuliwa shahidi akiwa pamoja na Abu Mahdi al Muhandis Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa...

 

10 years ago

Michuzi

CMSA YAZINDUA MASHINDANO YA INSHA NA KUJIBU MASWALI KWA WANAVYOU KOTE NCHINI

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezindua mashindano ya ya insha na kujibu maswali yanayolenga kuelimisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kote nchini kuhusu uelewa wa masoko ya mitaji na dhamana. Mashindano hayo yanayolenga kuongeza ari kwa wanafunzi kujifunza kuhusu masoko ya mitaji yanashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini bila kujali taaluma wanayosemea. Uzinduzi rasmi umefanyika tarehe 1 June 2015 mjini Dar es Salaam na yanatarajiwa kumalizika tarehe 15...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matawi ya Shirika la Bima (NIC) nchini kote yaunganishwa na mkongo wa mawasiliano wa taifa

124

Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Justin Mwandu akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma za shirika hilo kupitia mkongo wa taifa wa mawasiliano ambapo matawi yote nchini ya shirika hilo yameunganishwa pamoja na makao makuu ili kurahisisha huduma za bima zinazotolewa na Shirika hilo nchini kote, Amesema kwa sasa baada ya Kampuni ya simu ya TTCL kufanya kazi nzuri ya kuunganisha mtandao wa huduma za NIC nchini kote kupitia mkongo wa mawasiliano wa taifa mteja anaweza kuhudumiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani