Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MARASIMU YA MAOMBOLEZO YA 40 YA SHAHIDI LUTENI JENERALI SOLEIMANI YAFANYIKA KOTE NCHINI IRAN

Marasimu ya maombolezo ya 40 ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani yafanyika kote nchini Iran Marasimu ya maombolezo ya arubaini ya shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ( SEPAH) yamefanyika leo kote nchini Iran kwa kuhudhuriwa na umati mkubwa wa matabaka mbalimbali ya wananchi.Kamanda shahidi Qassem Soleimani ambaye tarehe Tatu Januari mwaka huu alielekea Iraq kwa mwaliko rasmi wa viongozi wa nchi hiyo aliuliwa shahidi akiwa pamoja na Abu Mahdi al Muhandis Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KUKINZANA RIPOTI RASMI YA WHITE HOUSE NA MATAMSHI YA TRUMP KUHUSU KUULIWA KIGAIDI LUTENI JENERALI SOLEIMANI

Kukinzana ripoti rasmi ya White House na matamshi ya Trump kuhusu kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali SoleimaniTarehe tatu Januari mwaka huu wa 2020, rais wa Marekani, Donald Trump, alifanya jinai ya kutoa amri ya kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na wanajihadi wenzake tisa karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad, huko Iraq.Trump alijigamba kuwa ndiye aliyetoa amri ya kufanyika jinai hiyo kwa madai kuwa Luteni Jenerali Soleimani alikuwa ana mpango wa kushambulia taasisi muhimu za Marekani. Hata hivyo, ripoti...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUKABIDHIWA MADARAKA YA UONGOZI KWA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia anayemaliza muda wake, Evaristus Shikongo(katikati) akipokea Salaamu ya heshima toka kwa Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maafisa na Askari wa Magereza wa Namibia(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukabidhi rasmi Uongozi(kulia) ni Waziri wa Ulinzi na Usalama Nchini Namibia, Mhe. Immanuel Ngatjizeko na kushoto kwake ni Kamishna Jenerali Mpya wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Hamunyela. Sherehe hizo zimefanyika Februari 01, 2014 katika Chuo...

 

9 years ago

GPL

TUNATAKA KAMPENI ZA AMANI NCHINI KOTE

Tuanze makala haya kwa kumsifu Mungu, muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana katika dunia hii. Hakika tumhimidi daima huku tukimuomba atuzidishie maarifa ya kutambua umoja wetu na amani katika taifa letu. Hivi sasa vyama vya siasa vipo katika kampeni zao kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25. Hili ni zoezi muhimu katika nchi zote zinazoheshimu misingi ya utawala bora na...

 

9 years ago

Raia Mwema

Wasomi tusijipendekeze kote kote, tutaanguka

Mhadhara huu utajikita kwenye mjadala juu ya mambo ambayo yanafaa kuzungumziwa na kubishaniwa kat

Issa Shivji

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi aagiza upimaji ardhi kote nchini

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameziagiza halmashauri nchini kuharakisha upimaji wa ardhi na mashamba katika maeneo ya wananchi ambao ndio wamiliki wa asili wa maeneo hayo ili kuondoa migogoro ya ardhi inayosababisha wananchi kuichukia Serikali yao.

 

5 years ago

Michuzi

NIDA Yaendelea na Shughuli za Usajili na Utambuzi wa Watu Nchini Kote



Maafisa usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) wakiendelea kutoa huduma za usajili kwa wananchi katika ofisi za Wilaya za Mamlaka hiyo katika Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam huku tahadhari za maambukizi ya virusi vya Corona ikiendelea kuzingatiwa kikamilifu.

 Na Agnes GerladMamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inaendelea na shughuli za Usajili na Utambuzi wa Watu nchini kote ambapo wananchi wanaendelea kupatiwa huduma katika ofisi za Usajili za NIDA zilizoko katika...

 

10 years ago

Michuzi

CMSA YAZINDUA MASHINDANO YA INSHA NA KUJIBU MASWALI KWA WANAVYOU KOTE NCHINI

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezindua mashindano ya ya insha na kujibu maswali yanayolenga kuelimisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kote nchini kuhusu uelewa wa masoko ya mitaji na dhamana. Mashindano hayo yanayolenga kuongeza ari kwa wanafunzi kujifunza kuhusu masoko ya mitaji yanashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini bila kujali taaluma wanayosemea. Uzinduzi rasmi umefanyika tarehe 1 June 2015 mjini Dar es Salaam na yanatarajiwa kumalizika tarehe 15...

 

10 years ago

Bongo5

Weusi wapanga kujenga maktaba 100 nchini kote ili wanafunzi wajisomee

Weusi wanaendelea kufikia ‘Nje ya Box’ kila kukicha. Kundi hilo linatarajia kushirikiana na Watanzania kujenga maktaba 100 katika vijiji mbalimbali vya Tanzania ili kuwahamasisha wanafunzi kujisomea. Msemaji wa kundi hilo, Nick wa Pili ameiambia 255 ya kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa kundi hilo lilikuwa na mpango huo kwa miaka mingi na sasa unakaribia […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani