Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FRED MWANJALA WA MAELEZO TV ATEMBELEA UDOM

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Idara ya Habari( MAELEZO) atembelea vitengo vya Mawasiliano Serikalini


Afisa Habari wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bw. Dennis Kiilu akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari wa Wizara hiyo Bi. Fatuma Malende  
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah...

 

10 years ago

GPL

JK ATEMBELEA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA UDOM, AFUNGA KIKAO KAZI CHA VIONGOZI DODOMA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya ziara ya ghafla kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo  cha Sayansi ya  Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha chuo hicho mjini Dodoma Ijumaa Oktoba 3, 2014. Alikuta ujenzi umeshakamilika na kilichobaki ni...

 

10 years ago

Michuzi

Zaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI - Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM

 Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo chuoni hapo jana. Airtel Tanzania chuoni hupo imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu
 Meneja masoko wa Airtel Uni Wi-Fi Bi Aneth Muga anaepiga picha ya selfie ili waitume kwa kutumia huduma ya Airtel Wi-Fi intaneti kwa baadhi ya...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Fred Swagg — Nimewaka

Fred Swage 2

Rapper Fred Swagg kutoka Mwanza ameachia wimbo mpya unaitwa “Nimewaka”. Producer Day Dream

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Dewji Blog

Fred Swagg aachia ‘Nimewaka’ mtandaoni

IMG-20151102-WA0031

Na Modewjiblog, team

Mwanamuziki anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki Bongo, Fredrick  Kalala ama jina la usanii akijulikana zaidi, Fred Swagg ameachia wimbo mpya mtandaoni  ‘NIMEWAKA’  au ‘Nimelewa’.

Akizungumza na Modewjiblog kwa njia ya simu kutoka jijini Mwanza,  Fred Swagg  mkali wa vibao vya Maandishi  alichowashirikisha Younf Killer na Kad Go.   Ameeleza kuwa katika wimbo wake huo mpya  wa Nimewaka, upo katika mahadhi ya rap,  ni maalum kwa watu wa rika zote hasa  sehemu za...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Fred M’membe matatani tena Zambia

MWANDISHI wa habari nguli wa Zambia ambaye amekuwa mara kwa mara akiingia kwenye misukosuko na serikali karibu zote ambazo zimepata kuundwa Zambia, amekamatwa tena, safari hii chini ya serikali mpya ya sasa inayoongozwa na Rais Edgar Lungu.

Amekamatwa wakati kukiwa na matukio kadhaa yanayotibua uongozi bora na utawala wa sheria nchini humo.

Katikati ya mwezi huu, makundi ya watu waliokuwa na silaha yalivamia mikutano inayohutubiwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, Hakainde...

 

9 years ago

Mwananchi

Fred Minziro apigiwa chapuo kurejea Yanga

Klabu ya Yanga imesema tayari imepata mrithi wa kocha msaidizi Charles Boniface Mkwassa aliyesaini Taifa Stars kwa miaka miwili.

 

10 years ago

Michuzi

Erick na Fred Omondi kutumbuiza Siku Ya Msanii

MSANII wa vichekesho kutoka Kenya, Fred Omondi akisaini mkataba wa kufanya onyesho la Siku Ya Msanii katika ofisi za Siku Ya Msanii, Mikocheni Dar es Salaam, pembeni ni Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones Kussaga. Picha zingine ni Erick Omondi

WACHEKESHAJI maarufu kutoka nchini Kenya, Erick Omondi na Fred Omondi wamealikwa kutumbuiza katika Tamasha la Siku Ya Msanii litakalofanyika Jumamosi ijayo kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.


Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani