Music: Fred Swagg — Nimewaka
Rapper Fred Swagg kutoka Mwanza ameachia wimbo mpya unaitwa “Nimewaka”. Producer Day Dream
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Fred Swagg aachia ‘Nimewaka’ mtandaoni
Na Modewjiblog, team
Mwanamuziki anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki Bongo, Fredrick Kalala ama jina la usanii akijulikana zaidi, Fred Swagg ameachia wimbo mpya mtandaoni ‘NIMEWAKA’ au ‘Nimelewa’.
Akizungumza na Modewjiblog kwa njia ya simu kutoka jijini Mwanza, Fred Swagg mkali wa vibao vya Maandishi alichowashirikisha Younf Killer na Kad Go. Ameeleza kuwa katika wimbo wake huo mpya wa Nimewaka, upo katika mahadhi ya rap, ni maalum kwa watu wa rika zote hasa sehemu za...
10 years ago
GPL10 Aug
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Jf1yjJt3EvU/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog10 Aug
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Jf1yjJt3EvU/default.jpg)
11 years ago
Bongo508 Aug
Nay wa Mitego kuachia wimbo mpya ‘Nimewaka’, video kushoot Dubai au US!
10 years ago
Vijimambo29 Mar
SWAGG ZA SUTI.
![](http://i1.wp.com/www.shereheyetu.com/wp-content/uploads/2015/03/swag.jpg?resize=598%2C600)
Je, unafahamu suti za harusi zinaweza kuwa za rangi aina yoyote? Kijivu, nyeupe, nyeusi, buluu iliyokolea, buluu ya bahari au hata rangi ya maziwa?
Hivi unafahamu unaweza fanya ubunifu kwa kuzi customize suti hizo?
Angalia tofauti ya mishono ya suti hizi, wamechanganya double na single breast.
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Fred M’membe matatani tena Zambia
MWANDISHI wa habari nguli wa Zambia ambaye amekuwa mara kwa mara akiingia kwenye misukosuko na serikali karibu zote ambazo zimepata kuundwa Zambia, amekamatwa tena, safari hii chini ya serikali mpya ya sasa inayoongozwa na Rais Edgar Lungu.
Amekamatwa wakati kukiwa na matukio kadhaa yanayotibua uongozi bora na utawala wa sheria nchini humo.
Katikati ya mwezi huu, makundi ya watu waliokuwa na silaha yalivamia mikutano inayohutubiwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, Hakainde...
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/8tjwliudYpQ/default.jpg)