Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FREDDY MACHA KUTUMBUIZA ONESHO LA PICHA ZA WATOTO WA KITANZANIA LONDON

Flyer by Evelina Moceviciute 2015 Mwanamuziki mkazi London, Freddy Macha, anatazamiwa kutumbuiza kwa ngoma na muziki wa gitaa, kwenye tafrija ndogo kutangaza na kuuza picha za watoto wa Kitanzania. Tafrija na maonesho yametayarishwa na wapiga picha watatu wa Kizungu, Amy Read, Evelina Moceviciute na Saraya Cortaville waliofanya kazi za kujitolea Mbeya vijijini mapema mwaka huu. Mauzo ya taswira hizo yatatumika kusaidia maisha na elimu ya watoto hao hao waliopigwa picha. Mradi mzima unaitwa "Ahsante Children"...kutukuza na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Justin Bieber asusia kutumbuiza Norway, akatisha onesho na kushuka jukwaani baada ya kuimba wimbo mmoja, aomba radhi

Bieber norwayJustin Bieber ameibuka na kituko kingine Alhamisi ya wiki hii (Oct.30), baada ya kuwasusia mashabiki wa Olso, Norway alikoenda kutumbuiza. Bieber alipanda jukwaani na kutumbuiza wimbo wa kwanza, kabla ya kususa na kushuka jukwaani na kuondoka. Bieber alitakiwa kutumbuiza nyimbo 6 kwenye show hiyo iliyokuwa pia inarekodiwa kwaajili ya talk show ya Tv ‘Senkveld’. Kilichomkera […]

 

10 years ago

Vijimambo

Mtanzania kutumbuiza British Music Awards, London

Fuatilia hapa LIVE kujua ni nani atapanda jukwaani leo

 

10 years ago

Michuzi

MHE. JANET MBENE AKAMILISHA ZIARA YAKE UINGEREZA KWA KUKUTANISHWA NA WAFANYABIASHARA WA KITANZANIA JIJINI LONDON

Na Ally Rashid Dilunga, LondonKatika kukamilisha mojawapo ya malengo ya ziara yake ya kikazi hapa Uingereza, Naibu waziri wa viwanda na biashara Mheshimiwa Janet mbene, amemalizia ziara yake ya wiki moja nchini Uingereza kwa kukutanishwa na baadhi ya wafanyabiashara wa Kitanzania hapa Ubalozini jijini London.

Ametumia fursa hiyo kuwafahamisha hatua zinazochukuliwa na Serikali kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji na pia kuwataarifu juu ya fursa za kibiashara zilizoko katika sekta...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Tazama Shilole alivyopokelewa huko Ubelgiji. Kutumbuiza jumamosi hii

Furaha ilishika nafasi pale mwanadada shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel.Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem jijini Brussel.

 

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha za msanii T.I alipowasili nchini tayari kutumbuiza Serengeti Fiesta 2014

1 (8)

Msanii wa kimataifa wa muziki wa Hip pop, Clifford Harris, T I akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa JK Nyerere, tayari kwa onyesho na Serengeti Fiesta 2014, linalofanyika leo Leaders Club jijini Dar es Salaam.

3 (1)

4

 

10 years ago

Michuzi

LEO IMETIMIA MIAKA 10 TOKA FREDDY "SUPREME" NDALA KASHEBA ATUTOKE

Na John KitimeLEO tunatimiza miaka kumi toka kifo cha mwanamuziki mahiri Freddy Supreme au maarufu kama Ndala Kasheba. Freddy alianza kufundishwa gitaa na baba yake wakati akiwa na umri wa miaka 12. Baba yake alijua kupiga gitaa japo hakufanya kazi ya uanamuziki, alikuwa akipiga gitaa nyumbani baada ya saa za kazi.Moja ya bendi maarufu ambazo zilimtambulisha sana Fredd ilikuwa Orchestra Fauvette, Freddy alieleza kuwa bendi ya Orchestra Fauvette ilianza tarehe 7 mwezi wa sita mwaka 1964...

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha zote za show ya Yamoto Band ndani ya Royal Regency, UK London

Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show Hiyo. Picha zaidi Ingia www.harakatizabongo.com

10386934_828991617161297_1265181723487925171_o

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani