Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FUMANIZI LA MWALIMU

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro    
KATIKA hali ya kutisha, fumanizi lililoambatana na bonge moja la mtiti linadaiwa kujiri nyumbani kwa mwalimu ‘ticha’ wa Shule ya Msingi ya Mafisa ‘A’, iliyopo Manispaa ya Morogoro mjini hapa aliyefahamika kwa jina la Rosemary Mkoba kisha watu wakachomana visu. Mume wa mtu, Raphael Bernard (33) aliyechomana visu na mwalimu baada ya fumanizi. HABARI...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

FUMANIZI KRISMASI

Stori: Issa Mnally
KRISMASI noma sana! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Baba Pendo ameiona chungu Sikukuu ya Krismasi 2013 kufuatia tukio la kufumaniwa na mkewe, Mama Pendo au Mama P ‘akibanjuka’ na mwanamke ndani ya gari. NI MKESHA WA KRISMASI
Tukio hilo la aina yake lilijiri eneo maarufu Kijitonyama jijini Dar linalojulikana kwa jina la Miti Mirefu, usiku wa Mkesha wa Krismasi, majira ya saa 8:00 usiku wa...

 

11 years ago

GPL

FUMANIZI KOBOKO

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa KABAANG! Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar, amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.
Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita saa 12 alfajiri ambapo ilidaiwa kuwa Jack alikuwa chumbani na mwanaume huyo ambaye ni mpangaji, wenzake wakipeana maraha. Picha tofauti juu...

 

11 years ago

GPL

FUMANIZI ASUBUHI

Stori: WAANDISHI WETU
NI kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Fumanizi la aina yake lilitokea juzikati asubuhi ya saa 2, Mtaa wa Mbwela, Tandika jijini Dar ambapo mjamzito aliyejulikana kwa jina la Semeni  alipata ‘kichaa’ cha muda baada ya kumfumania mumewe, Dullah akiwa na mwanamke  mwingine chumbani kwao, Risasi Jumamosi lina kisa kizima. Akisimulia mkasa huo, Semeni mwenye ujauzito wa miezi 6...

 

10 years ago

Michuzi

msaada tutani: mwalimu wa kiswahili sweden anatafuta mwalimu mwenzie kubadilishana nondo

Mimi ni mwalimu wa Kiswahili Sweden natafuta mwalimu yoyote anayefundisha kiswahili hapa ili tuweze badilishana materials. Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu.Email yangu ni linda.johansson5@kungsbacka.se
Kwa mawasiliano nitumie email.

 

11 years ago

Michuzi

Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyotakiwa kuchangia marehemu.  Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Missime amemtaja mwalimu aliyeuwawa kuwa ni Freddy Ndahani (29) mwalimu wa shule ya Hombolo.Kamanda  Misime amesema walimu hao wote wawili wanalikuwa wakiishi katika nyumba moja na walikuwa wakichangia bili ya umeme katika nyumba...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwalimu adaiwa kumuua mwalimu mwenzake Kagera

>Mwalimu wa Shule ya Msingi Kaiho, Kijiji cha Rwigembe, mkoani Kagera, Tumaini Samson (42) anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwenzake, Samson Mwenda (26) kutokana na kumchoma kwa kisu kifuani na mgongoni.

 

11 years ago

GPL

AHAMA NYUMBA, KISA FUMANIZI

Stori:  Issa Mnally na Richard Bukos JAMBO limezua jambo! Yule jamaa aliyefahamika kwa jina la Huruma Bernard ambaye alidai kumfumania baba mwenye nyumba wake, Lugali akitaka kuvunja amri ya sita na mkewe, hatimaye ameamua kuhama nyumba. ...Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wa fumanizi. Fumanizi hilo liliripotiwa na gazeti hili, toleo la wiki iliyopita likiwa na kichwa cha habari, ‘VUNJA JUNGU GESTI’ ambapo Huruma...

 

10 years ago

GPL

BODABODA ACHINJWA KWENYE FUMANIZI

HATARI! Wimbi la mauaji yanayohusishwa na matukio ya mafumanizi yanazidi kushika kasi mkoani hapa ambapo mwishoni mwa wiki iliyopita dereva mwingine wa bodaboda aliyetajwa kwa jina moja la Kambi (33), anadaiwa kuchinjwa na kufa papohapo huku kifo chake kikihusishwa na matukio hayo. Marehemu Kambi enzi za uhai wake. Tukio hilo lilitokea juzikati majira ya saa 11:00 alfajiri ambapo mwili wa bodaboda huyo uliokotwa maeneo ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto asababisha fumanizi hospitali

TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta anayedaiwa kuwa kimada pia kupata matibabu hospitalini hapo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani