Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gavana akimbiza usalama wake Nigeria

Mashambulio ya risasi yamlazimisha gavana wa jimbo la Adamawa kazkazini mwa Nigeria kukimbiza usalama wake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Gavana wa benki Nigeria atimuliwa

Gavana Lamido Sanusi amesimamishwa kazi akisubiri uchunguzi wa kile kinachosemekana kuwa makosa makubwa katika rekodi za benki.

 

5 years ago

Michuzi

GAVANA APINGWA JUU YA MPANGO WAKE WA KUTUMIA POMBE KAMA KITAKASA KOO


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
LICHA ya Shirika la Afya Duniani kusema wazi kuwa pombe haiwezi kupigana dhidi ya virusi vya Corona (Covid-19) na kuwashauri watu wapunguze matumizi yake Gavana wa Mji mkuu wa Nairobi, nchini Kenya Mike Sonko kupitia mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika mapema jumanne valithibitisha matumizi ya pombe katika Kupambana na virusi hivyo kwa kile alichoeleza kuwa pombe aina ya Hennessy ni kitakasa koo "throat sanitizer." CNN imeripoti.
Sonko ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali ya usalama nchini Nigeria

BBC inaendelea kukujuza takwimu muhimu kabla ya uchaguzi mkuu ulioratibiwa kufanyika tarehe 28 Machi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Usalama wa Nigeria kuangaziwa Ufaransa

Rais wa Ufaransa Franswa Hollande anaanda mkutano hii leo mjini Paris kuangazia hali ya usalama nchini Nigeria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria: afisa wa usalama apekuliwa

Nyumba za mshauri wa zamani wa usalama Nigeria zavamiwa kwa upekuzi

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yazidi kujikita kulinda Usalama wa wafanyakazi wake

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua kampeni maalum ya kuhamasisha wafanyakazi wake kuhakikisha uendeshaji wa magari na vyombo vingine vya moto unaozingatia usalama ili kulinda afya na usalama wao wawapo barabarani.
Vodacom ambao ni washindi wa tuzo ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi inayotambuliwa na Mamlaka ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) imezindua kampeni hiyo ikiwa ni mwendelezo wa jitihada mbalimbali inazozichukua katika kuhakikisha usalama wa wafanyakazi wake...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ofisa Usalama kizimbani kwa mauaji ya bosi wake


NA FURAHA OMARY
OFISA Usalama wa Taifa, Mohammed Kazembe, anayetuhumiwa kumuua bosi wake, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa shitaka la mauaji, akiwa hoi hajiwezi.
Kazembe (33), alifikishwa mahakamani hapo jana asubuhi, akiwa amebebwa na watu wawili huku mguu wake wa kushoto ukiwa umefungwa bandeji kutoka kwenye kisigino hadi ugokoni na mkononi alikuwa na njia ya kuwekea dripu ya maji.
Mshitakiwa huyo, mkazi wa Mwananyamala, ambaye hakuwa na uwezo wowote wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Adele akimbiza kwenye chati za Billboard

Adele.NEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa muziki nchini Uingereza, Adele Adkins, anamaliza mwaka kwa kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard kwa wiki nne.

Katika chati hiyo kulikuwa na albamu 200 ambazo zilikuwa zinashindanishwa, lakini Adele amefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye ushindani huo kwa wiki nne.

Mkali huyo wa sauti amesema ni furaha kwake kuona kazi zake zikikubalika na idadi kubwa ya watu duniani na ndiyo maana ameweza kukaa kwa muda mrefu ambapo sio kawaida kutokana na...

 

5 years ago

Michuzi

DAWASA YAHAKIKISHA USALAMA KWA WAFANYAKAZI WAKE KUJIKINGA NA COVID-19

Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani  DAWASA wamechukua tahadhari kwa wafanyakazi dhidi ya Maambukizi ya homa ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona.
Dawasa wamechukua tahadhari hiyo kwa kuwapatia wafanyakazi wake wakiwemo mafundi wa maeneo mbalimbali vifaa vya kuwakinga ikiwemo Barakoa ili wavae muda wote wakiwa katika majukumu yao.
Hatua hiyo ni muhimu katika kutii agizo la serikali kwa kuvaa barakoa  ili kuweza kujikinga, kupunguza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani