Geita wahimizwa kuchimba vyoo
WANANCHI wilayani Geita wametakiwa kutunza mazingira kwa kuchimba vyoo vya kudumu katika familia zao kuliko kuchimba vyoo ambavyo havina hadhi, hali inayochangia kwenda kujisaidia vichakani na maeneo mengine yasiyofaa. Kauli...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV25 Nov
Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule
Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.
Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA VYOO MANISPAA YA SHINYANGA..AKUTANA NA VYOO VYA AJABU...KIMO CHA KULENGA KWENYE BOMBA
Hiki choo cha ajabu kiko Shinyanga maelezo yapo chini.Leo Jumatatu Novemba 30,2015 ambapo mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameanza kufanya ziara kutembelea kata za manispaa hiyo ili kuangalia hali ya usafi wa mazingira kubwa zaidi ni kukagua vyoo vya wananchi ilimkukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.Mkuu huyo wa wilaya ya Shinyanga alikuwa ameambatana na mkurugenzi wa manispaa ya Shinyanga Lewis Kalinjuna,mwanasheria wa manispaa hiyo Simon Jilanga,afisa afya wa manispaa hiyo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-P0TeoGRmjwY/XtjJd0GzPuI/AAAAAAALslM/5YW-P0zUZLw_roIlAKojzIDwIS9Oo7gZQCLcBGAsYHQ/s72-c/Makamu%2BRais%2Bwa%2BGGML%252C%2BSimon%2BShayo.jpg)
GEITA GOLD MINING LTD YATOA MILIONI 100/- KUSAIDIA UJENZI CHUO KIKUU HURIA-GEITA
![](https://1.bp.blogspot.com/-P0TeoGRmjwY/XtjJd0GzPuI/AAAAAAALslM/5YW-P0zUZLw_roIlAKojzIDwIS9Oo7gZQCLcBGAsYHQ/s400/Makamu%2BRais%2Bwa%2BGGML%252C%2BSimon%2BShayo.jpg)
Awamu ya kwanza ya mradi huo inajumuisha ujenzi wa jengo la utawala linalojumuisha chumba mikutano cha viongozi, maktaba, chumba cha maabara ya kompyuta na ofisi nyingine tano.
Pia kiasi hicho cha pesa kilichotolewa na GGML ni kwa ajili ya ununuzi wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yRGsDg4KRGY/Xumstjqz1nI/AAAAAAALuJ0/ePRarxvUZL49M_8SpDUlVUOBW_mBjn9eQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-15%2Bat%2B10.10.57%2BPM.jpeg)
KANALI MSTAAFU NDUGU NGEMELA LUBINGA AFANYA ZIARA WILAYA YA CHATO NA MBOGWE GEITA MKOANI GEITA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-yRGsDg4KRGY/Xumstjqz1nI/AAAAAAALuJ0/ePRarxvUZL49M_8SpDUlVUOBW_mBjn9eQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-15%2Bat%2B10.10.57%2BPM.jpeg)
Mlezi wa Mkoa wa Geita Ndugu. Ngemela Lubinga ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (Siasa na Uhusiano wa Kimataifa) amefanya ziara wilayani Chato na Mbogwe Mkoani Geita.
Wilayani Chato Ndugu Lubinga amekagua na kujionea upanuzi wa Hospital ya Wilaya ya Chato pamoja na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa majengo matano ambao umekamilika kwa asilimia 97%.
Aidha amekagua pia maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mlimani ambao umejengwa kwa nguvu ya...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LroF8k088Jg/U0QeH21RTPI/AAAAAAAFZWg/LQzUx0O7cIQ/s72-c/MMG21848.jpg)
11 years ago
Habarileo21 Jun
Jeshi la Magereza kuchimba madini
KATIKA kukabiliana na tatizo la ufinyu wa bajeti katika Jeshi la Magereza na kuipunguzia mzigo Serikali, jeshi hilo linakusudia kuanza kuchimba madini ili lijitegemee, baada ya utafiti wa jeshi hilo kubaini baadhi ya maeneo inayoyamiliki yanaweza kuwa na aina mbalimbali za madini.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Kitima: Tunaweza kuchimba gesi
WATANZANIA wametakiwa kuondokana na dhana potofu, kwamba hawana uwezo wa kuvuna gesi kutokana na kukosa mtaji na teknolojia. Kauli hiyo ilitolewa jana na Makamu mstaafu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Abood apongezwa kuchimba visima
WANANCHI mkoani Morogoro wamempongeza Mbunge wao, Aziz Abood, kwa jitihada mbalimbali anazofanya ikiwemo kuhakikisha huduma ya maji inapatikana katika maeneo mbalimbali. Wakizungumza na Tanzania Daima jana, wananchi hao walisema tatizo...
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Blue Springs kuchimba visima bure
KAMPUNI ya Blue Springs ya jijini Dar es Salaam imekaribisha maombi ya kuchimbiwa visima bure kwa maeneo yenye uhaba wa maji. Akizungumza na waandishi wa habari jijini humo, Mkurugenzi wa...