Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gereza lavamiwa Kivu Kaskazini.

Watu waliokuwa na silaha wamevamia gereza mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo na kuwaachilia huru wafungwa kama 400.

 
Uvamizi huo ulitokea Jumamosi usiku katika mji wa Butembo katika jimbo la Kivu Kaskazini.

 
Msemaji wa serikali ya Congo, Lambert Mende, alithibitisha kuwa gereza ilivamiwa lakini aliiambia BBC kwamba bado wanachunguza vipi shambulio hilo lilifanywa.

 
Kumetokea mashambulio katika jimbo la Kivu Kaskazini katika siku 10 zilizopita – mashambulio yanayodaiwa kufanywa na...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Gereza yavamiwa Kivu Kaskazini

Gereza moja KIvu Kaskazini, mashariki mwa DRC yavamiwa na wapiganaji na wafungwa waaachiliwa huru

 

11 years ago

Mwananchi

Tunahitaji ‘gereza- lisha’ au ‘gereza- kijiji’ ?

Nionavyo mimi muundo na mfumo wetu wa magereza umepitwa na wakati. Ninasema hivyo kwa kuwa ni jambo la kushangaza kwamba kwenye nchi yenye ardhi ya kutosha bado magereza yetu ni vijieneo vidogo pembezoni mwa miji yetu badala ya kuwa kijiji kikubwa ambacho tofauti na vijiji vingine ni kuwa vijiji hivyo ni vya watu wasiokuwa huru, yaani, wafungwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shamba la mwekezaji lavamiwa

WANANCHI zaidi ya 60 wamevamia shamba la muwekezaji mwenye asili ya kiasia, Pradeep Lodhia na kufanya uharibifu wa mali mbalimbali. Wananchi hao walivamia shamba la mwekezaji huyo lijulikanalo kama Tanzania Plantation lililopo...

 

10 years ago

GPL

BASI LA ABIRIA LAVAMIWA KENYA, WATU 28 WAUAWA

Polisi wa kenya (Picha na Maktaba). Habari kutoka Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya zinasema kuwa, abiria 28 wameuawa na wengine kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha kuvamia basi walimokuwa wakisafiria leo alfajiri. Habari zaidi zinasema wavamizi hao huenda ni wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabab. Mashuhuda wa tukio hilo wanasema wavamizi hao walikuwa wa asili ya kisomali na waliwaua abiria ambao si Waislamu. Jambo...

 

10 years ago

Vijimambo

NEW YORK - JIJI LA WAJANJA LAVAMIWA NA WALEGEVU WA MAMBO

Jiji la New York jana jumapili lilikuwa baadhi ya mitaa haipitiki, baada ya kufungwa na kuwapa fursa walegevu wa mambo ( wasenge)  kusherehekea na kupongezana baada ya mahakama juu nchini marekani  kuhalalisha ndoa ya jinsia moja, (mwanamke kumuowa mwanamke mwengine, na mwanamme kumuowa mwanamme mwengine, kitu ambacho kimewatia hasira baadhai ya wana dini na kuandaa kupingana na uamuzi huoo wa mahakama ya juu





















 

10 years ago

BBCSwahili

Wakaazi wa Kivu Kusini, DRC wagoma

Wakazi wa mji wa Baraka, kusini mwa jimbo la kivu, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo,wameingia siku ya pili ya mgomo baridi,

 

11 years ago

BBCSwahili

Kamanda wa DRC auawa vitani Kivu

Kamanda wa majeshi ya serikali yanayopigana dhidi ya kundi la wapiganaji wa kiisilamu wa Uganda, mashariki mwa nchi ameuawa.

 

11 years ago

Michuzi

Mama Asha Suleimani Iddi katika Futari ya Jumuiya Madrasatul Hidayatul Islamia ya Kijiji cha kidoti Wilaya ya Kaskazini “ A” Mkoa wa Kaskazini Unguja

Na Othman Khamis Ame, OMPRWakati kumi la mwanzo la Rehema na lile la pili la maghfira yaliyomo ndani ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan yakimalizika waumini wa Dini ya Kiislamu hivi sasa wanaendelea na ibada katika kukamilisha kumi la mwisho la mwezi huu mtukufu wa Ramadhani la kuachwa huru na moto. Ibada hii ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani inamuwajibikia kila muumini wa Dini hiyo aliyefikia balegh na akili timamu kuitekeleza ikiwa ni ya Nne kati ya tano ya nguzo za...

 

10 years ago

BBCSwahili

DRC :Mafuriko yaleta hasara kubwa Kivu

Familia nyingi zimesalia bila makao baada ya mafuriko kubomoa nyumba zaidi ya 100 katika tarafa ya Fizi Kivu kusini Jamhuri ya Congo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani