Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gereza yavamiwa Kivu Kaskazini

Gereza moja KIvu Kaskazini, mashariki mwa DRC yavamiwa na wapiganaji na wafungwa waaachiliwa huru

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Gereza lavamiwa Kivu Kaskazini.

Watu waliokuwa na silaha wamevamia gereza mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo na kuwaachilia huru wafungwa kama 400.

 
Uvamizi huo ulitokea Jumamosi usiku katika mji wa Butembo katika jimbo la Kivu Kaskazini.

 
Msemaji wa serikali ya Congo, Lambert Mende, alithibitisha kuwa gereza ilivamiwa lakini aliiambia BBC kwamba bado wanachunguza vipi shambulio hilo lilifanywa.

 
Kumetokea mashambulio katika jimbo la Kivu Kaskazini katika siku 10 zilizopita – mashambulio yanayodaiwa kufanywa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Tunahitaji ‘gereza- lisha’ au ‘gereza- kijiji’ ?

Nionavyo mimi muundo na mfumo wetu wa magereza umepitwa na wakati. Ninasema hivyo kwa kuwa ni jambo la kushangaza kwamba kwenye nchi yenye ardhi ya kutosha bado magereza yetu ni vijieneo vidogo pembezoni mwa miji yetu badala ya kuwa kijiji kikubwa ambacho tofauti na vijiji vingine ni kuwa vijiji hivyo ni vya watu wasiokuwa huru, yaani, wafungwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakaazi wa Kivu Kusini, DRC wagoma

Wakazi wa mji wa Baraka, kusini mwa jimbo la kivu, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo,wameingia siku ya pili ya mgomo baridi,

 

11 years ago

BBCSwahili

Kamanda wa DRC auawa vitani Kivu

Kamanda wa majeshi ya serikali yanayopigana dhidi ya kundi la wapiganaji wa kiisilamu wa Uganda, mashariki mwa nchi ameuawa.

 

11 years ago

Michuzi

Mama Asha Suleimani Iddi katika Futari ya Jumuiya Madrasatul Hidayatul Islamia ya Kijiji cha kidoti Wilaya ya Kaskazini “ A” Mkoa wa Kaskazini Unguja

Na Othman Khamis Ame, OMPRWakati kumi la mwanzo la Rehema na lile la pili la maghfira yaliyomo ndani ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan yakimalizika waumini wa Dini ya Kiislamu hivi sasa wanaendelea na ibada katika kukamilisha kumi la mwisho la mwezi huu mtukufu wa Ramadhani la kuachwa huru na moto. Ibada hii ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani inamuwajibikia kila muumini wa Dini hiyo aliyefikia balegh na akili timamu kuitekeleza ikiwa ni ya Nne kati ya tano ya nguzo za...

 

10 years ago

BBCSwahili

DRC :Mafuriko yaleta hasara kubwa Kivu

Familia nyingi zimesalia bila makao baada ya mafuriko kubomoa nyumba zaidi ya 100 katika tarafa ya Fizi Kivu kusini Jamhuri ya Congo.

 

11 years ago

Michuzi

RWANDA AWARDS 50 MW METHANE GAS TO ELECTRICITY PROJECT ON LAKE KIVU TO U.S. SYMBION POWER

During the U.S. Africa Head of State Summit this week in Washington, D.C., the Government of Rwanda’s Energy Water and Sanitation Authority (EWSA) awarded Symbion Power a 50 megawatt Independent Power Production (IPP) project using methane gas from Lake Kivu, it was announced today by Paul Hinks, Chief Executive Officer, Symbion Power.
Symbion will build, own and operate a 50 MW power station by constructing gas extraction facilities to lift, separate, and process methane gas, which is...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyumba ya Chris Brown yavamiwa

Nyumba ya nyota wa muziki Chris Brown kutoka Marekani imevamiwa na kupekuliwa na watu watatu waliofunika nyuso zao ambao walimfungia shangazi lake ndani chumba chake kulingana na maafisa wa polisi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kambi ya jeshi la AU yavamiwa Somalia

Msemaji wa kundi la Al Shabaab anasema kuwa wapiganaji wake waliingia kwa nguvu ndani ya kituo hicho na mapigano yanaendela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani