Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ghana yatangaza siku tatu za maombolezo

Serikali ya Ghana imetangaza siku tatu za maombolezo kufuatia vifo vya watu zaidi ya 150

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ALGERIA YATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO BAADA YA AJALI YA NDEGE

Ndege aina ya Hercules C-130 baada ya kupata ajali. Algeria imeanza siku tatu za maombolezi ya kitaifa kufuatia ajali ya ndege iliyowaua watu 77 Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo. Abiria mmoja alinusurika ajali hiyo iliyohusisha ndege aina ya Hercules C-130 iliyoanguka katika eneo la milima ya Oum al-Bouaghi, ikiwa njiani kuelekea mji wa Constantine. Kikosi cha uokoaji kikiwa eneo la tukio. Ripoti… ...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAOMBOLEZO YA SIKU TATU YA KIFO CHA RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI

Pierre NkurunzizaIkulu, Chamwino.
Rais Dk. John Magufuli ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia kesho Juni 13, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kilichotokea Juni 09, 2020 nchini Burundi.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dodoma imesema katika kipindi chote cha siku tatu za maombolezo hayo ambayo yataanza leo, hadi keshokuwa bendera zote zitapeperushwa nusu mlingoti.

Taarifa hiyo imesema, Rais Magufuli ameeleza kuwa Tanzania inatoa heshima hiyo kwa kifo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Afghan yatangaza maombolezo kitaifa

Serikali ya Afghanistan imetangaza siku moja ya maombolezo kuwakumbuka waliofukiwa na maporomoko ya udongo

 

5 years ago

CCM Blog

RWANDA YATANGAZA MAOMBOLEZO YA KITAIFA KIFO CHA RAIS WA BURUNDI



  Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza maombolezo ya Kitaifa Rwanda kufuatia kifo cha Nkurunziza na ameagiza Bendera ya Rwanda na ya Jumuiya ya Afrika Mashariki zote zipeperushwe nusu mlingoti nchini humo kuanzia leo June 13 hadi siku Nkurunziza atakapozikwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanesco yatangaza mgawo wa umeme wa siku tisa

>Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza mgawo wa umeme kwa siku tisa katika baadhi ya maeneo kutokana na upungufu wa nishati hiyo katika Gridi ya Taifa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Tanzania yatangaza kufunga shule zote kwa siku 30

Tanzania yatangaza kufunga shule zote kuanzia shule za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30.

 

9 years ago

Dewji Blog

Fastjet yatangaza safari za kila siku kwenda Zanzibar kutoka Dar

fastjet_2409696b1

Kampuni ya ndege ya gharama nafuu barani Afrika, fastjet imetangaza safari zake za kila siku kwenda Zanzibar kutoka Dar es Salaam zitakazoanza  tarehe 16, Januari 2016.

Huduma hii ambayo itaanza mara moja ni matokeo ya maombi ya abiria na makampuni yanayotoa huduma kwa watalii ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakidai huduma hiyo ili kuimarisha soko la ndani.

Huduma za usafiri kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere wa Dar es Salaam na ule wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani