Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALGERIA YATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO BAADA YA AJALI YA NDEGE

Ndege aina ya Hercules C-130 baada ya kupata ajali. Algeria imeanza siku tatu za maombolezi ya kitaifa kufuatia ajali ya ndege iliyowaua watu 77 Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo. Abiria mmoja alinusurika ajali hiyo iliyohusisha ndege aina ya Hercules C-130 iliyoanguka katika eneo la milima ya Oum al-Bouaghi, ikiwa njiani kuelekea mji wa Constantine. Kikosi cha uokoaji kikiwa eneo la tukio. Ripoti… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wapatikana hai siku 5 baada ya ajali ya ndege

Mama na mwanawe wa mwaka mmoja wamepatikana hai siku 5 baada ya ajali ya ndege katika msitu mkubwa huko Colombia

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghana yatangaza siku tatu za maombolezo

Serikali ya Ghana imetangaza siku tatu za maombolezo kufuatia vifo vya watu zaidi ya 150

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA

Balozi wa Tanzania BELUX na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo ya waliofariki katika ajali ya ndege ya Malaysia. Kitabu hicho kimefunguliwa leo hii katika Ubalozi wa Malaysia Brussels.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ajali ya ndege yawaua 100 Algeria

Ndege ya jeshi imeanguka ikiwa imebeba zaidi ya watu 100 nchini Algeria

 

11 years ago

GPL

SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI

Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur.  Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Afghan yatangaza maombolezo kitaifa

Serikali ya Afghanistan imetangaza siku moja ya maombolezo kuwakumbuka waliofukiwa na maporomoko ya udongo

 

5 years ago

CCM Blog

RWANDA YATANGAZA MAOMBOLEZO YA KITAIFA KIFO CHA RAIS WA BURUNDI



  Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza maombolezo ya Kitaifa Rwanda kufuatia kifo cha Nkurunziza na ameagiza Bendera ya Rwanda na ya Jumuiya ya Afrika Mashariki zote zipeperushwe nusu mlingoti nchini humo kuanzia leo June 13 hadi siku Nkurunziza atakapozikwa.

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria (Air Algerie) iliyopoteza mawasiliano ya Rada katika anga la Mali mapema leo ikiwa na abiria 116 na watumishi sita imeanguka, Shirika la Habari la Reuters linaripoti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani