Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gharama za simu mjadala mzito

Wakati Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeziagiza kampuni za simu kutoa maelezo kuhusu mabadiliko ya gharama za vifurushi vya muda wa maongezi, Vodacom Tanzania imeeleza kuwa mabadiliko hayo yanatokana na ongezeko la kodi na hivyo kulazimika “kubadili mazingira ya kibiashara ili kuepuka hasara”.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Moyo aibua mjadala mzito Z’bar

Zanzibar. Wanasiasa wa Zanzibar wamegawanyika kuhusu hatua ya CCM kumfukuza uanachama mwanasiasa mkongwe, Hassan Nassor Moyo (pichani) baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja miiko na maadili ya chama kwa kitendo chake cha kuhudhuria mikutano ya hadhara ya CUF na kutetea mfumo wa muundo wa Serikali tatu kinyume na sera ya chama chake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Gharama ya kupiga simu kupunguzwa

Watuamiaji wa simu za mkononi nchini Kenya,Rwanda na Uganda hivi karibuni watakuwa wakipiga simu kwa bei nafuu.

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Tanzania Daima

Kodi kubwa za simu zinaongeza gharama

WAKATI bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 ikitarajiwa kuwasililishwa bungeni   kesho, masikio ya Watanzania wengi yameelekezwa huko yakitaka kusikia kama italeta ahueni au itaongeza gharama za maisha. Katika...

 

10 years ago

Mwananchi

GHARAMA: ‘Tozo za huduma za simu hazizuiliki’

>Wakati Watanzania wakizidi ‘kutoboa’ mifuko yao kununua vifurushi vya kupiga simu na kutuma ujumbe wa mfupi, baada ya mabadiliko ya viwango vya huduma hizo, Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo imesema mabadiliko hayo hayazuiliki kutokana na changamoto za uwekezaji.

 

11 years ago

Mwananchi

AFRIKA MASHARIKI: Wateja wa simu za mkononi EAC kupungizwa gharama

>Wateja wa mawasiliano ya simu katika nchi za Uganda, Kenya, Rwanda na Sudan Kusini wanatarajia kufurahia viwango vya ada sawa za mawasiliano chini ya mpango mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojulikana kama  “One network Area”

 

11 years ago

Habarileo

Tigo kurejesha gharama za laini za simu kwa wateja wake

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imezindua utaratibu wa kurudishia wateja wake gharama zote za ununuzi wa laini za simu kwa kuwapa muda wa maongezi na salio katika akaunti za Tigo pesa.

 

5 years ago

Michuzi

WENGI WENYE SIMU ZA GHARAMA MATUMIZI YAKE HAYAENDANI NA THAMANI- ISOC


Wadau wakiendelea kupata mafunzo kutoka kwa watoa mada wakati wa mafunzo hayo.
Katibu Mkuu wa Shirika la Internet Society Tanzania Chapter (ISOC) Pamela Chogo akijibu maswali ya wadau wa mtandao wakati wa mafunzo hayo.
 Baadhi ya wadau wa masuala ya mtandao wakiwa kwenye semina ya mafunzo ya usalama kwa watumiaji wa intaneti yaliyoandaliwa na Shirika la Internet Society Tanzania Chapter(ISOC)leo Machi 14 mwaka 2020.Mafunzo hayo yamefanyika wilayani kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wadau wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani