Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ghasia zachacha mashariki ya kati

Polisi wa Israeli wanasema kuwa kijana mpalestina amewadunga kisu waisralei wawili mjini Jerusalem

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya amani Mashariki ya kati

Muda wa mwisho uliowekwa na Marekani wa mpango wa mashariki ya kati umemalizika

 

11 years ago

BBCSwahili

Papa azuru Mashariki ya Kati

Papa asihi vita vya Syria vimalizwe kwa amani

 

11 years ago

BBCSwahili

Papa akamilisha ziara Mashariki ya Kati

Papa Francis ametoa wito kwa wakristo, wayahudi na waisilamu katika eneo la Mashariki ya kati kupendana

 

9 years ago

Vijimambo

Mkurugenzi wa Mashariki ya Kati azungumza na Balozi wa UAE nchin

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima (kulia) akimsikiliza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdulla Ibrahim Ghanim Alsuwaidi (kushoto) alipokuja kujitambulisha na kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi na Balozi mpya katika Idara hiyo ya Mashariki ya Kati. Katika mazungumzo yao waligusia masuala ya kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu. Afisa Mambo ya Nje, Bw. Hangi Mgaka akisikiliza mazungumzo kati ya Balozi...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ni mhimili mkuu wa uchumi Afrika Mashariki na Kati

Mkutano wa marais wa nchi zinazounda Ukanda wa Kati wa Kibiashara, Barani Afrika, wamekutana jijini Dar es Salaam na kuweka mikakati mbalimbali ya kukuza sekta ya miundombinu ya barabara na reli, kwa manufaa ya mataifa hayo.

 

9 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA MASHARIKI YA KATI AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima (kulia) akimsikiliza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdulla Ibrahim Ghanim Alsuwaidi (kushoto) alipokuja kujitambulisha na kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi  na Balozi mpya katika Idara hiyo ya Mashariki ya Kati. Katika mazungumzo yao waligusia masuala ya kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu.  Afisa Mambo ya Nje, Bw. Hangi Mgaka akisikiliza mazungumzo kati ya Balozi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wasichana na wanawake milioni 130 wakeketwa barani Afrika na mashariki ya kati

DSC03971

Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Sofia Simba (Mb), akizungumza kwenye ufunguzi wa kongamano la siku mbili la maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kukomesha ukeketaji linalofanyika mjini Singida. Pamoja na mambo mengine, Waziri Simba, amewataka wafanyakazi wa afya wanaojishughulisha na vitendo vya ukeketaji kuacha mara moja vitendo hivyo kwa madai ni kinyume na haki za binadamu.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

WAZIRI wa  Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto,...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali sasa kutafuta soko la Utalii nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kutafuta soko la utalii kutoka nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati ili kuongeza idadi ya watalii nchini na kukuza pato la Taifa kupitia sekta hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

ECASSA YAIKUTANISHA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF Tanzania, Abubakar Rajab, akitoa mada katika warsha juu ya uendeshaji wa bodi za mifuko ya hifadhi ya jamii iliyoandaliwa na Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya Africa Mashariki na Kati (ECASSA)  inayoendelea nchini Mauritius. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF Tanzania, Abubakar Rajab, akimkabidhi zawadi  Mh. Fazila Jeewa waziri wa masuala ya hifadhi ya jamii nchini Mauritius mara baada ya waziri huyo kufungua rasmi warsha juu ya uendeshaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani