Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ghasia zaidi zazuka al-Aqsa Jerusalem

Kumetokea ghasia zaidi kati ya vikosi vya usalama vya Israel na raia wa Palestina kandokando ya msikiti mkubwa wa Al Aqsa mjini Jerusalem.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ghasia zazuka gerezani Ghana

Ghasia zazuka baada ya ajali ya Moto kutokea Gereza la Kumasi nchini Ghana

 

11 years ago

BBCSwahili

Ghasia zaidi kupinga kombe la dunia

Polisi nchini Brazil wamewatawanya waandamanaji mjini Brasilia wanaopinga kombe la dunia

 

10 years ago

Vijimambo

VURUGU KUBWA ZAZUKA TUNDUMA


Wakazi wa Mji wa Tunduma, Wilaya ya Momba, Mbeya wakiangalia moto uliowashwa katikati ya Barabara ya Tunduma-Sumbawanga jjana baada ya kutokea vurugu baina ya wananchi na askari wa kikosi cha Kutuliza Ghasia.
Tumepata habari za kusikitisha kutoka Tunduma mkoani Mbeya kwamba, kwa siku tatu mfululizo, mji huo, ambao ni lango la biashara kusini mwa Tanzania, uligeuka uwanja wa mapambano kati ya Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) na makundi ya vijana.Taarifa ya Jeshi la Polisi ilisema kwamba vurugu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vurugu zazuka mji wa Baltmore Marekani

Vurugu kubwa za mapigano baina ya polisi na waandamanaji zimetokea nchini Marekani katika mji wa Boltimore, baada ya maziko ya kijana Freddie Gray ambaye alikufa kutokana kujeruhiwa alipokuwa mikononi mwa polisi.

 

9 years ago

StarTV

Vurugu zazuka ofisi ya Chadema morogoro mjini 

 

Kumezuka vurugu katika ofisi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA  wilaya ya Morogoro mjini  baada ya wagombea ngazi ya udiwani katika kata 7 za Wilayani humo kudaiwa kukatwa  majina yao kutokanana na vitendo vya rushwa kutawala katika mchakato huo .

Vurugu hizo zimetokea majira ya saa 7 mchana baada ya wagombea na wanachama wa chama hicho kwenda  katika ofisi  za wilaya   ili kupata  sababu za viongozi wa juu wa chama hicho  kuwakata wagombea walioshinda katika kinyang’anyiro...

 

10 years ago

Michuzi

vurugu zazuka kariakoo leo,wengi wapoteza fahamu

Msamaria mwema akimbeba Mamalishe alifahamika kawa jina la Khadija Rashidi aliezirai baada ya milipuko ya mabomu katika ghasia za wamachinga na Askari Polisi leo mchana katika eneo la kariakoo. Mama lishe huyo alikuwa katika shughuli zake za kutayarisha chakula ghafla wamachinga waliokuwa wanakimbia kutaka kujificha katika sehemu za wafanyabiashara hao. baadhi ya wasamaria wakimsaidia Mama lishe aliefahamika kwa jina Mwanahamisi ambaye alizimia baada ya mabomu kurindima katika vurugu kati ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Jerusalem wakumbwa na machafuko

Leo ni siku ya pili ya makailiano katika eneo la al-Aqsa mjini Jerusalem, kati ya polisi wa Israeli na vijana wa Kipalestina

 

10 years ago

BBCSwahili

Waumini washambuliwa Jerusalem

Takriban waisreli wanne wameuawa na wnegine 8 kujeruhiwa katika kile polisi wanasema ni shambulio la kigaidi dhidi ya Sinagogi eneo la magharibi ya Jerusalem.

 

9 years ago

BBCSwahili

Makabiliano yazuka msikitini Jerusalem

Ghasia zimezuka al-Aqsa, polisi wa Israel walipoingia eneo la msikiti huo saa chache kabla ya kuanza kwa mwaka mpya wa Kiyahudi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani