Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL YAWAPA SHAVU CHIPUKIZI

Mchekeshaji Shafii Omari 'Dk Mfuyuzi' (kushoto) akiwa na  Oscar Petro 'Oscar Nyerere' (kulia) katika mahojiano na Global TV Online. Wachekeshaji, Oscar Nyerere na Dk Mfuyuzi, wakiwa na Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Risasi Jumatano, Joseph Shaluwa (mwenye shati jekundu).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mapato yawapa hofu wajumbe

Wajumbe wa Baraza la Halmashauri ya Mji wa Handeni wameitaka halmashauri hiyo na wilaya kuangalia upya mikataba ya makusanyo ya fedha kwenye minada yao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Fawopa yawapa somo wanafunzi

MWENYEKITI wa Shirika lisilo la kiserikali la Faidika Wote Pamoja (Fawopa-Tanzania) la mkoani Mtwara, Saidi Nassoro, amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii, ili kuweza kufikia malengo yao waliojiwekea. Nassoro alitoa kauli...

 

11 years ago

Habarileo

TMA yawapa somo vijana

VIJANA wametakiwa kubadilika na kuchukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuhakikisha wanashiriki kuokoa dunia kutoka kwenye majanga yaletwayo na mabadiliko hayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yawapa uraia wakimbizi

Wakimbizi wa Burundi walioishi Tanzania kwa miongo kadha wamepewa uraia wa nchi hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBS yawapa somo wajasiriamali

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wajasiriamali na wafanyabiashara wakubwa nchini kuboresha bidhaa zao kwa kuzingatia viwango vya ubora unaotakiwa. Mkurugenzi wa Kudhibiti Ubora wa Viwango wa TBS, Tumaini Mtitu,...

 

10 years ago

Mwananchi

Takukuru yawapa changamoto vijana

Vijana wametakiwa kujitokeza kushiriki chaguzi mbalimbali nchini na kuondoa dhana kuwa wazee wanashinda kwa rushwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

ALAT yawapa somo madiwani

SHIRIKISHO la Serikali za Mitaa (ALAT) Mkoa wa Geita limewataka wenyeviti wa halmashauri na madiwani kushirikiana na watendaji kuhakikisha maendeleo ya mkoa huo yanasonga mbele. Mwenyekiti mpya wa ALAT Mkoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

OGP yawapa tuzo wananchi 37

SHIRIKA la Twaweza kupitia mpango wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi (OGP), limetoa tuzo za kompyuta mpakato na taa zinazotumia nishati ya jua kwa wananchi 37 waliotoa mawazo yao...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kampuni ya Ujerumani yawapa wahamiaji ajira

Siemens, moja ya kampuni kubwa nchini Ujerumani, imejitenga na kampuni nyingine na kuamua kutoa ajira kwa wingi kwa vijana ambao wanawasili nchini humo kama wakimbizi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani