Mapato yawapa hofu wajumbe
Wajumbe wa Baraza la Halmashauri ya Mji wa Handeni wameitaka halmashauri hiyo na wilaya kuangalia upya mikataba ya makusanyo ya fedha kwenye minada yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Bunge lawatia hofu wajumbe
BAADHI ya wajumbe wa Bunge la Katiba, wameonyesha wasiwasi wao namna mijadala itakavyoendeshwa na upatikanaji wa Katiba Mpya. Akizungumza na Tanzania Daima, Job Ndugai, alisema idadi ya wajumbe 629 ni...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Bunge kusuasua kwawatia hofu wajumbe
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Wajumbe wapata hofu kamati za bunge
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kuwa na hofu kwa madai kuwa kamati zilizoundwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, zinalenga kutoa nafasi kwa wenyekiti wa...
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo
Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.
Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...
11 years ago
GPLGLOBAL YAWAPA SHAVU CHIPUKIZI
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Tanzania yawapa uraia wakimbizi
11 years ago
Habarileo25 Mar
TMA yawapa somo vijana
VIJANA wametakiwa kubadilika na kuchukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuhakikisha wanashiriki kuokoa dunia kutoka kwenye majanga yaletwayo na mabadiliko hayo.
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Fawopa yawapa somo wanafunzi
MWENYEKITI wa Shirika lisilo la kiserikali la Faidika Wote Pamoja (Fawopa-Tanzania) la mkoani Mtwara, Saidi Nassoro, amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii, ili kuweza kufikia malengo yao waliojiwekea. Nassoro alitoa kauli...