Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Globu ya Jamii yajitosa kudhamini Miss Temeke 2014

Washiriki wa Shindano la Miss Temeke 2014,wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye kambi yao ya Mazoezi iliyoanza rasmi Agosti 3,katika viwanja vya Chang'ombe,Jijini Dar es Salaam.Globu ya Jamii kwa kushirikiama na Michuzi Media Group wamejitosa kudhamini Shindano hilo,ambapo watatoa zawadi nono kwa mrembo atakaeshita taji la Miss Photogenic.
 BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI ZA WAREMBO HAO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tahariri ya Globu ya Jamii: Sakata la Miss Tanzania 2014 Sitti Abbasi Mtemvu lipatiwe muarobani

 Jumamosi   Oktoba 11, 2014 fainali za Miss Tanzania  zilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam. Umati mkubwa wa wapenzi wa urembo waliokusanyika hapo ulishuhudia Bi. Sitti Abbas Mtemvu akinyakua taji hilo, akiwashinda warembo wengine 29 na kuwa malikia wa 20 wa urembo nchini.Sitti, aliyeanza mbio za kuwania taji hilo katika awamu ya vitongoji kwa kujisafishia njia kwa  kuibuka Miss Chang’ombe na baadaye Miss Temeke,  alifuatiwa na  Lillian Kamazima aliyekuwa mshindi wa...

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU MISS TEMEKE 2014

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely. Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji… ...

 

10 years ago

Michuzi

nani kuibuika miss temeke 2014??

 NANI kati wa washiriki 17 ataibuka kuwa mshindi wa shindano la Redd's Miss Temeke 2014, linalofanyika kesho kwenye Ukumbi wa TCC Club Chang'ombe Dar es Salaam.
Jumla ya warembo 17 kutoka vitongoji vya Mbagala, Kurasini na Chang;ombe watapanda jukwaani kuwania taji hilo, huku washindi wa tatu watapata nafasi ya kushiriki shindano la Miss Tanzania mwaka 2014.
Akizungumza Dar es Salaa jana Mkurugenzi BMP Promotions, Benny Kisaka, alisema kuwa maandalizi ya shindano hilo...

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WA MISS TEMEKE 2014 HAWA HAPA

Mshiriki Nambari 1 (Subira Ally). Mshiriki Nambari 2 (Hellen Eugen). Mshiriki Nambari 3 (Rehema Jabiry).…

 

10 years ago

GPL

FAINALI MISS TEMEKE 2014 KUFANYIKA AGOSTI 22

Vimwana wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la pamoja ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa TCC, Chang'ombe jijini Dar es Salaam Agosti 22, 2014. Jumla ya washiriki 17 watapanda jukwaani siku hiyo kuwania taji hilo. Warembo…

 

10 years ago

Michuzi

Mambo yapamba moto kuelekea fainali za Miss Temeke 2014

 Vimwana wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la picha,ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa TCC klabu Chang'ombe jini Dar es Salaam Agosti 22,2014.Jumla ya washiriki 17 watapanda jukwaani siku hiyo kuwania taji hilo huku Globu ya Jamii ikimzawadia kitita cha Sh. Mil 1 Mrembo atakaeonekana ana mvuto wa picha (Miss Photogeni 2014).Wakiwa wamepozi wenyewe.Watembea kwa mwendo wa madaha mithili ya Twiga mbugani.

 

10 years ago

Michuzi

Miss Temeke 2014 apatikana usiku huu,TCC Club Chang'ombe jijini Dar

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely.
Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji hilo usiku huu.Mwanalibeneke Othman Michuzi akimvisha taji la Michuzi Blog Miss Photogenic...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Total Hair yajitosa Miss Ubungo

KAMPUNI ya Prima Total Hair imejitosa kudhamini shindano la Miss Ubungo 2014, linalotarajiwa kufanyika Land Mark Hotel, Ubungo jijini Dar es Salaam, Juni 13. Shindano hilo lilitanguliwa na shindano la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani