Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Total Hair yajitosa Miss Ubungo

KAMPUNI ya Prima Total Hair imejitosa kudhamini shindano la Miss Ubungo 2014, linalotarajiwa kufanyika Land Mark Hotel, Ubungo jijini Dar es Salaam, Juni 13. Shindano hilo lilitanguliwa na shindano la...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Globu ya Jamii yajitosa kudhamini Miss Temeke 2014

Washiriki wa Shindano la Miss Temeke 2014,wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye kambi yao ya Mazoezi iliyoanza rasmi Agosti 3,katika viwanja vya Chang'ombe,Jijini Dar es Salaam.Globu ya Jamii kwa kushirikiama na Michuzi Media Group wamejitosa kudhamini Shindano hilo,ambapo watatoa zawadi nono kwa mrembo atakaeshita taji la Miss Photogenic.
 BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI ZA WAREMBO HAO

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yajitosa kutatua migogoro

Tanzania imejitosa kutatua mgogoro wa kisiasa unaondelea Sudan Kusini kwa kusuluhisha mvutano uliopo ndani ya chama tawala cha Sudanese People’s Liberation Movement (SPLM).

 

9 years ago

Habarileo

Tanapa yajitosa Tuzo za Taswa

MAMLAKA ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) ni miongoni mwa wadhamini wa Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya Rais Jakaya Kikwete zinazotarajiwa kufanyika keshokutwa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Sputanza yajitosa kwa Nyosso

MWENYEKITI wa Chama cha Wanasoka Tanzania (SPUTANZA), Musa Kisoky amesema wanawasiliana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuona namna ya kumsaidia beki wa Mbeya City, Juma Said ‘Nyosso’ aliyefungiwa miaka miwili pamoja na faini ya Sh milioni mbili baada ya kumdhalilisha John Bocco wa Azam FC.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aydin Logistics yajitosa Sabasaba

KAMPUNI ya Aydin Logistics inayojishughulisha na upakuaji mizigo bandarini na usambazaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi, imejitosa katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba). Aydin Logistics,...

 

11 years ago

Mwananchi

WHO yajitosa dhidi homa ya dengue

Shirika la Afya Duniani (WHO), limejiunga katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa ya dengue kwa kuagiza vipimo 1,000 kwa ajili ya upimaji nchi nzima.

 

10 years ago

Mtanzania

Ujerumani yajitosa Katiba mpya

Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke

Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

UBALOZI wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani nchini umejitosa katika mjadala wa Bunge la Katiba mpya linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.

Pamoja na hali hiyo, Ujerumani imekanusha kuhusika kusaidia kikundi chochote nchini kinachojihusisha na masuala ya siasa, ikiwamo suala la Katiba.

Tamko kwa vyombo vya habari lililotolewa jana na Ofisa Mawasiliano wa Ubalozi wa Ujerumani, John Merikion, limesema Serikali ya...

 

11 years ago

Mwananchi

IPTL yajitosa kusaidia vijana kiuchumi

>Kampuni ya Ufuaji Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeanza utekelezaji wa mpango wake wa kuwezesha miradi mbalimbali kwa vijana wa Kitanzania kuimarika kiuchumi  ikiwa na lengo la kukuza maendeleo ya uchumi nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TPSC yajitosa kutekeleza BRN kwa vitendo

ILI kuhakikisha wananchi wanahudumiwa vizuri, serikali ilianzisha mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ambao taasisi mbalimbali za umma zinapaswa kuutekeleza na hatimaye wananchi wapate huduma zinazokidhi matarajio yao. Wizara na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani