Guninita kulishtaki gazeti MCT
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)MKoa wa Dar es Salaam, John Guninita, amesema anakusudia kulishitaki gazeti la kila wiki la Sauti Huru kwa Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa madai ya kuandika habari za uchonganishi dhidi yake.
Katika taarifa yake, kada huyo wa CCM alidai kuwa gazeti hilo toleo Namba 331 la Machi 12 mwaka huu liliandika habari za fitina, ugombanishi na uchochezi.
Guninita alisema habari hiyo iliyokuwa na kichwa cha habari...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Guninita aibuka, amshukia Nape
9 years ago
TheCitizen14 Aug
Mgeja, Guninita ditch CCM
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Makonda akana kuwakashfu Guninita, Msindai
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, amekana kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Mgana Msindai na Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita.
Amedai kwamba alichozungumza kiliungwa mkono na viongozi wa juu wa chama hicho akiwamo John Malecela na Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya.
Makonda alidai hayo jana katika majibu yake aliyowasilisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen...
10 years ago
Mwananchi17 Apr
wakina Guninita ‘wamtia’ DC Makonda kortini
10 years ago
TheCitizen13 Aug
Mgeja, Guninita quit CCM, join Chadema
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Mgeja, Guninita wajiengua CCM, wajiunga Chadema
10 years ago
MichuziMGEJA,GUNINITA WANGATUKA CCM ,WAJIUNGA CHADEMA
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Guninita atabiri kilimo cha miwa kufa
MKULIMA wa Miwa aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ameibuka na utabiri kuwa zao hilo litakufa miaka miwili ijayo endapo serikali...
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Mgeja, Guninita waibwaga CCM, wajiunga Chadema
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amesema chama hicho kimeacha misingi yake na sasa kimegeuka kuwa kampuni ya familia moja.
Mgeja pia amempiga kijembe mgombea urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli akimfananisha na dereva ambaye hajaweza kuendesha gari vizuri ‘learner’ akimaanisha kuwa hana uwezo wa kukiongoza chama hicho.
Mgeja alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana alipotangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama...