Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Guninita aibuka, amshukia Nape

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaan, John Guninita amesema kitendo cha Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye kupinga uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Mwenyekiti wa chama chake, Rais Jakaya Kikwete ni mwendelezo wa tabia za ukosefu wa nidhamu kwa viongozi wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.

Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...

 

9 years ago

Mtanzania

Rostam amshukia Slaa

Rostam ANa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, amesema kauli zilizotolewa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa kuwa alimpigia simu za vitisho ni kauli za uongo, ubinafsi na upotoshaji.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Rostam alisema: “Nilimsikiliza Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willibrod Slaa jana alipokuwa akizungumza katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

“Kwa mara nyingine kama ilivyo hulka yake miaka yote, Dk. Slaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa amshukia JK, Nyalandu

RAIS Jakaya Kikwete na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, wameshukiwa na kuelezwa kuwa hawana dhamira ya dhati katika kupambana na vitendo vya ujangili nchini bali wanafanya hivyo ili...

 

9 years ago

Mwananchi

January amshukia Lowassa Dodoma

Aliyekuwa mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, Januari Makamba, jana alimshukia mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa kwamba ni mroho wa madaraka.

 

9 years ago

TheCitizen

Mgeja, Guninita ditch CCM

Shinyanga regional CCM chairman Khamis Mgeja and Mr John Guninita, the former party’s chairman for Dar es Salaam, yesterday quit the ruling party and announced to join the main opposition, Chadema.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba amshukia Prof Shivji

>Mjadala wa Mabadiliko ya Katiba jana ulihamia nje ya Bunge wakati Jaji Joseph Warioba alipomchambua mhadhiri maarufu nchini, Profesa Issa Shivji akimueleza kuwa si mkweli bali mpotoshaji wa Rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu amshukia Zitto Kabwe

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kuwa watu wanaosema kwamba maamuzi ya Kamati Kuu ya chama hicho kuwavua nafasi za uongozi makada wake watatu...

 

10 years ago

Mtanzania

Guninita kulishtaki gazeti MCT

gununitaNA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)MKoa wa Dar es Salaam, John Guninita, amesema anakusudia kulishitaki gazeti la kila wiki la Sauti Huru kwa Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa madai ya kuandika habari za uchonganishi dhidi yake.
Katika taarifa yake, kada huyo wa CCM alidai kuwa gazeti hilo toleo Namba 331 la Machi 12 mwaka huu liliandika habari za fitina, ugombanishi na uchochezi.
Guninita alisema habari hiyo iliyokuwa na kichwa cha habari...

 

10 years ago

Tanzania Daima

DC Geita amshukia Mwenyekiti wa CCM Mkoa

IKIWA ni siku chache Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma kufanya mkutano wa hadhara kiwanja cha shule ya Msingi Kalangalala na kumtuhumu Mkuu wa Wilaya ya Geita (DC),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani