Makonda akana kuwakashfu Guninita, Msindai
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, amekana kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Mgana Msindai na Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita.
Amedai kwamba alichozungumza kiliungwa mkono na viongozi wa juu wa chama hicho akiwamo John Malecela na Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya.
Makonda alidai hayo jana katika majibu yake aliyowasilisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Apr
wakina Guninita ‘wamtia’ DC Makonda kortini
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-JQCJar-9Q-Y/Xl-VysRd-lI/AAAAAAALg7M/RR2ILAmxsP4d1u4NBU6VL6Li4hn4R5IlgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-04%2Bat%2B2.04.17%2BPM.jpeg)
RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w
![](https://1.bp.blogspot.com/-JQCJar-9Q-Y/Xl-VysRd-lI/AAAAAAALg7M/RR2ILAmxsP4d1u4NBU6VL6Li4hn4R5IlgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-04%2Bat%2B2.04.17%2BPM.jpeg)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Msindai: Sijahojiwa na CC
MWENYEKITI wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania, Mgana Msindai, amesema hajahojiwa na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho kuhusu kauli yake aliyoitoa Monduli kwa Waziri Mkuu wa zamani,...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Msindai: Sipendi siasa za kuchafuana
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Mgana Msindai, amesema hapendi siasa za kuchafuana zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa wanaotafuta umaarufu. Msindai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wenyeviti...
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Guninita aibuka, amshukia Nape
10 years ago
Daily News06 Aug
CCM not affected by Msindai's exit
Daily News
CHAMA Cha Mapinduzi in Singida region has said that the defection of its regional chairman, Mr Mgana Msindai, to the opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo will not affect its strength in any way. “He has made his own decision to join Chadema.
10 years ago
Mtanzania20 Mar
Guninita kulishtaki gazeti MCT
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)MKoa wa Dar es Salaam, John Guninita, amesema anakusudia kulishitaki gazeti la kila wiki la Sauti Huru kwa Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa madai ya kuandika habari za uchonganishi dhidi yake.
Katika taarifa yake, kada huyo wa CCM alidai kuwa gazeti hilo toleo Namba 331 la Machi 12 mwaka huu liliandika habari za fitina, ugombanishi na uchochezi.
Guninita alisema habari hiyo iliyokuwa na kichwa cha habari...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Msindai atetewa kuhusu Lowassa
MMOJA wa wanaharakati mkoani Tabora, Elisha Poneja, amemuunga mkono Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mgana Msindai, kuhusu kauli yake dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Msindai...
9 years ago
TheCitizen14 Aug
Mgeja, Guninita ditch CCM