GWAJIMA JASHO CHAPACHAPA

Na Waandishi Wetu MCHUNGAJI Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, jana amehojiwa kwa saa tano na kutoka katika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar akiwa chapachapa kwa jasho ndani ya koti kufuatia yale madai ya kumtolea maneno yenye kuudhi, Askofu wa Kanisa la Romani Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo. MCHUNGAJI Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Awali Gwajima...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
FUNDISHO LA MCHEPUKO, DAMU CHAPACHAPA
10 years ago
Vijimambo
Mawakili wa Gwajima Wajibu Mapigo Waiandikia Barua Polisi Kuhusu Uhalali wa Kumtaka Gwajima Awasilishe Nyaraka 10 za Mali Zake

Mawakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.Barua hiyo iliyosainiwa na Wakili Peter Kibatala iliwasilishwa jana mchana katika jeshi hilo, ikiwa ni siku moja baada ya jeshi hilo kumtaka Askofu Gwajima kuwasilisha nyaraka 10, Aprili 16 mwaka huu watakapoendelea na mahojiano.
Gwajima...
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
Mancity kutoana jasho na Arsenal
10 years ago
BBCSwahili01 Mar
Liverpool kutoana jasho na Mancity
11 years ago
BBCSwahili09 Aug
Arsenal kutoana jasho na Besikitas
10 years ago
BBCSwahili03 Sep
Besigye kutoana jasho na Museveni
10 years ago
Mtanzania15 Dec
Ukawa waitoa jasho CCM
Na Waandishi Wetu, Dar na Mikoani UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeonekana kukitoa jasho Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji na vijiji uliofanyika nchini kote jana. Licha ya kuwapo na mchuano mkali kati ya Ukawa na CCM, uchaguzi huo ulitawaliwa na dosari nyingi zilizosababisha uchaguzi usimamishwe katika maeneo kadhaa kutokana na vurugu au kukosekana vifaa vya kupigia kura. Mbali ya CCM, Chadema na CUF kuchuana vikali katika maeneo mbalimbali,...
11 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Zitto, TPDC watoana jasho
MVUTANO mkali umeibuka kati ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC), na Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), kuhusu mikataba ya gesi nchini....
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Tunisia kutoana jasho na Zambia