Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hadithi ya Nyumbani: usasa na ubaadae

Na Rashid Abdallah Nipitapo njiani nakutana na sura zenye bashasha, vicheko, na kila aina ya mazungumzo, hata huwezi tambua kwamba hawa watu wana yao moyoni ambayo yanawasumbua, na kila wakaapo kitako cha kutulizana basi huyasimulia kwa […]

The post Hadithi ya Nyumbani: usasa na ubaadae appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

HADITHI: Sura Mbili

Pengine unaweza kuwa mpole, mcheshi, mkarimu na anayependa watu wote na pia unaweza kuwa katili asiye na mzaha na asiyeona tabu  kutoa roho ya mtu pale apendapo.

 

10 years ago

Mwananchi

Jangwani hadithi ileile

>Licha ya Jangwani kutajwa kuwa hatarishi na wakazi wake kupewa viwanja Mabwepande na kutakiwa kuhama, jana malalamiko kwa wakazi wa eneo hilo lililopo bonde la Mto Msimbazi waliendeleza malalamiko yake baada ya kuathiriwa na mvua kubwa zinazoendelea.

 

10 years ago

Mwananchi

HADITHI: Sura mbili 22

Katika hadithi iliyopita tulisoma jinsi Salum Zakwa alivyomuua rafiki yake wa ndani ambaye walikuwa wakicheza pamoja mchezo wa kamari katika Hoteli ya Africo. Alishirikiana na vijana wake kina Liston na Vasco. Sasa endelea.

 

10 years ago

Mwananchi

Tunadanganywa na hadithi za ‘siri ya mafanikio’

Wiki mbili zilizopita nilizungumzia kuhusu orodha ya matajiri katika Jarida maarufu la Forbes. Ukiangalia mtandao wao utagundua kuwa watu wengi duniani huutembelea kutazama nani kapanda nani kashuka katika nyanja mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Je, wavijua vipera vya hadithi?

Wiki iliyopita niliwadokeza wanafunzi kuwa tutajadili mada mbalimbali zinazohusu lugha ya Kiswahili.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Wataka urais na hadithi ya mama jongoo na mwanawe

WENGINE wanasema ni kukua kwa demokrasia ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wapo pia wanaojisifia kwamba hizo ni dalili za kukomaa kwa chama, lakini kwa wenzangu na mie, hizo ni dalili za uholela, ni ishara ya kukosa kujitambua.

Wahenga wanasema mtu asiyejua anachokifanya kila kitu kwake ni sawa, mtu asiyekuwa na jibu la kwa nini yupo au anaishi, yeye kila kitu kwake hewala ni sawa tu na mtu asiyejua aendako kwake njia zote ni sawa, atajuaje njia inayompeleka kusikotakiwa wakati huko...

 

9 years ago

Mwananchi

Hadithi ya Nyangeche , eric., kijana, mhudumu, kilevi

Eric alianza kutweta kwa kijasho chembamba na kufanikiwa kuongea: “Nyangache … hapa ni nyumbani.  Pia kumbuka heshima na upendo wetu kwa Mungu.” Alitulia. Nilimtazama na kumshika mkono wake wa kulia na kumketisha katika kiti nami niliketi katika kiti kingine.Tulitazamana. Nilianza kuvunja ukimya na kusema: ”Najua nitakufa! Najua nitakufa!

 

9 years ago

Raia Mwema

Ya Chadema, Lowassa na hadithi ya ugali kwa harufu ya samaki

MANIFESTO ni neno la Kiingereza, lililotoholewa kutoka katika neno la Kilatini la Manifestum.

Mwandishi Wetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani