Haki itendeke pande zote mbili za sakata la escrow
Sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow linazidi kuchukua sura mpya kila kukicha, hivyo kusababisha kuwapo kwa mjadala kwa jamii.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Ripoti ya Gaza:Pande zote zilikiuka haki
Ripoti iliyosubiriwa na wengi, imeonyesha kuwepo na ushahidi wa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu pamoja na sheria ya kimataifa kutoka kwa pande zote.
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Sasa kazi ni moja tu, kudai Tume Huru ya Uchaguzi ili haki itendeke
Tunapouanza mwaka 2015 tujue kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu kwa wabunge, madiwani pamoja na rais.
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Mawifi pande zote mpendane
Makalio ya sufuria hayaogopi moto; mchana inzi na usiku mbu; mawifi liwe liwalo tutaolewa tu na kaka zenu. Mpo hapo? Basi kero za nini na mlikuwa wapi wakati kaka zenu walipotutafuta, kutupenda hatimaye kutuoa? Mwakwetu, hilo ni tamko la Jamila kwao ‘mawifi’ wakorofi.
11 years ago
BBCSwahili06 Jun
UN-'Pande zote CAR zilihusika na uhalifu'
UN inasema kuna ushahidi kuwa pande zote mbili zinazozozana katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati, zimehusika katika uhalifu wa kivita
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
‘Muungano una changamoto pande zote’
MJUMBE wa Bunge la Maalumu la Katiba, Dk. Hussein Mwinyi, amesema muundo wa Muungano uliopo una changamoto kwa pande zote mbili. Alisema kwa upande wa Zanzibar changamoto kubwa zipo katika...
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Kamati mbili zakamilisha kujadili #rasimu, zote zapendekeza serikali mbili[VIDEO]
 KAMATI mbili kati ya 12 za Bunge Maalum la Katiba zimehitimisha kazi yake katika kujadili sura mbili za rasimu huku zote zikipendekeza muundo wa serikali mbili za Muungano katika Sura ya Kwanza na ile ya Sita badala ya Shirikisho.
11 years ago
BBCSwahili17 Jan
Pande mbili S. Kusini zimetenda uhalifu
Afisaa mkuu wa UN, Ivan Simonovic, amesema pande mbili zilizo kwenye mgogoro nchini Sudan Kusini zimetekeleza vitendo vya mauaji.
10 years ago
Vijimambo02 Oct
BREAKING NEWZ RASIMU YA KATIBA MPYA IMEPITA DODOMA,THERUTHI 2/3 YAPATIKANA PANDE ZOTE ZA MUUNGANO
![](https://scontent-a.xx.fbcdn.net/hphotos-xap1/v/t1.0-9/10352413_789544021107671_499878042800070519_n.jpg?oh=8345312f3a80a7b9dd227bfe8073c586&oe=54B0D235)
* Sura ya Pili Ibara ya Ibara ya 12 hadi 21 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tatu Ibara ya 22 hadi 22 hadi 26 imepata theluthi mbili
* Sura ya Nne Ibara ya 27 hadi 30 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tano Ibara ya 31 hadi 64 imepata theluthi mbil
*Sura ya Sita Ibara ya 65 hadi 69...
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania