Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pande mbili S. Kusini zimetenda uhalifu

Afisaa mkuu wa UN, Ivan Simonovic, amesema pande mbili zilizo kwenye mgogoro nchini Sudan Kusini zimetekeleza vitendo vya mauaji.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

UN-'Pande zote CAR zilihusika na uhalifu'

UN inasema kuna ushahidi kuwa pande zote mbili zinazozozana katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati, zimehusika katika uhalifu wa kivita

 

10 years ago

Mwananchi

Haki itendeke pande zote mbili za sakata la escrow

Sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow linazidi kuchukua sura mpya kila kukicha, hivyo kusababisha kuwapo kwa mjadala kwa jamii.

 

11 years ago

BBCSwahili

Pande pinzani zalaumiwa Sudan Kusini

Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu mzozo wa Sudan Kusini yasema pande pinzani nchini humo ni za kulaumiwa katika mzozo uliozuka.

 

11 years ago

Michuzi

KIJANA WA KITANZANIA ANG’ARA PANDE ZA KOREA KUSINI

 Kijana wa kitanzania asomae Korea Kusini Bw. Sunday Sokoni ameibuka kidedea kwa kushinda nafasi ya pili katika mashindano ya kukariri na kuongea mashairi ya kikorea kwa hisia.  Shindano hilo liliwakutanisha washindani mia moja na therethini (130) wengi wao wakiwa ni Wakorea lakini Sunday Sokoni alifanikiwa kuwabwaga Wakorea hao na kuwa raia pekee wa kigeni aliyeingia kwenye Tatu bora.   Ushindi wa Sunday ulikuwa gumzo jijini Seoul-Korea na kupelekea Television za Korea kufanya mahojiano na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahakama ya uhalifu kuanzishwa S.Kusini

AU Imesema mahakama maalumu itaundwa kwa ajili ya kuwashitaki washukiwa wa makosa ya uhalifu wa kivita nchini Sudani kusini

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhalifu dhidi ya binadamu Sudan Kusini

Amnesty International limetuhumu pande zote zinazozozana katika mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini kwa kutenda uhalifu dhidi ya binadamu

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Magenge ya uhalifu yaamua kuweka silaha kando Afrika Kusini

Jinsi virusi vya corona vilivyoshinikiza usitishwaji wa vita kati ya magenge hasimu ya uhalifu Afrika Kusini.

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba kuachia video mbili alizoshoot Afrika Kusini

Barnaba Elias

Barnaba amesema atafungua mwaka 2016 kwa kuachia video mbili moja ikiwa ya wimbo ‘Nakutunza’aliyomshirikisha Jose Chameleone wa Uganda.

Barnaba Elias

Muimbaji huyo ambaye pia ni mwandishi mzuri wa nyimbo, ameiambia Bongo5 kuwa video nyingi za wasanii zilizotoka zimemfanya aweke zake kapuni ili atoe mwakani.

“Mwaka huu hatuwezi tena kutoa video kutokana na population ya wasanii kutoa video. Watu wanaojua marketing ya muziki wanajipanga na kuangalia muda sahihi wa kuachia video. Nashukuru Mungu video...

 

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz ashoot video mbili Marekani na Afrika Kusini

Baada ya ushindi wa tuzo ya Afrimma 2015, Ommy Dimpoz ali-tease nyimbo mbili tofauti Instagram akiashiria kuwa anakaribia kupakua wimbo mpya. Katika post hizo mr PKP aliandika; “Vipi? Mko Tayari Baada ya Uchaguzi Tuachie MABODY?”, na nyingine “I can’t wait @nahreel on the beat”. Lakini kuna uwezekano kionjo ulichokisikia kisiwe ni cha wimbo utakaotoka kwasababu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani