Barnaba kuachia video mbili alizoshoot Afrika Kusini
Barnaba amesema atafungua mwaka 2016 kwa kuachia video mbili moja ikiwa ya wimbo ‘Nakutunza’aliyomshirikisha Jose Chameleone wa Uganda.
Muimbaji huyo ambaye pia ni mwandishi mzuri wa nyimbo, ameiambia Bongo5 kuwa video nyingi za wasanii zilizotoka zimemfanya aweke zake kapuni ili atoe mwakani.
“Mwaka huu hatuwezi tena kutoa video kutokana na population ya wasanii kutoa video. Watu wanaojua marketing ya muziki wanajipanga na kuangalia muda sahihi wa kuachia video. Nashukuru Mungu video...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Oct
Ommy Dimpoz ashoot video mbili Marekani na Afrika Kusini
11 years ago
CloudsFM20 Jun
LINAH KUACHIA NGOMA YAKE YA KIZAIZAI 'EXCLUSIVE' KWENYE RADIO STATION ZA AFRIKA KUSINI.
Msanii wa Bongo Fleva,Linah Sangah’Lina’ kwa wakati huu yuko nchini Afrika Kusini karibu wiki ya tatu sasa akifanya shughuli za kimuziki pande hizo.
Msanii huyo akiwa nchini humo atarekodi ngoma na producer mkubwa wa nchini humo Oskido, atashuti video. Aidha Lina ataiachia ngoma yake mpya kesho katika vituo vya radio karibu vyote vikubwa vya nchini humo pamoja na kufanya interviews.
9 years ago
Bongo513 Oct
Shaa adai ana video 3 alizoshoot nje tangu mwaka jana
11 years ago
Bongo514 Jul
Video: Teaser ya video mpya ya Linah ‘Ole Themba’ aliyoshoot Afrika Kusini na director GodFather
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Mo Music kusaka video Afrika Kusini
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII Moshi Katemi ‘Mo Music’, amepanga kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya upigaji wa picha za video ya wimbo wake mpya wa ‘Skendo’.
Video hiyo inatarajiwa kuandaliwa na mwongozaji mashuhuri nchini, Adam Juma ambaye wamepanga kwenda naye nchini humo kwa ajili ya kazi hiyo.
“Sitaki kuwaangusha mashabiki wangu, nitakwenda Afrika Kusini kufanya video ya Skendo ila nitamtumia Adam Juma kwa sababu ni mwongozaji bora na huwa tunafanya kazi nzuri kila tunapokutana,”...
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Masai Nyotambofu kuachia mbili kali
MSANII wa vichekesho, Gilliady Severine ‘Masai Nyotambofu’ anayeyekuja kwa kasi katika muziki wa kizazi kipya, hivi karibuni ataachia ngoma zake mbili. Masai Nyotambofu alisema jana kuwa nyimbo hizo tayari zimekamilika, hivyo...
9 years ago
Bongo510 Sep
Video: Dj D-Ommy akiongelea show ya Bahrain na Afrika Kusini
11 years ago
Bongo518 Jul
Picha 10 za utengenezaji wa video ya Feza Kessy ‘My papa’, Afrika Kusini
9 years ago
Bongo507 Nov
Mwana FA kwenda Afrika Kusini kushoot video ya wimbo mpya
![FA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/FA-300x194.jpg)
Mwana Fa ni miongoni mwa wasanii waliositisha kazi zao za muziki ili kupisha mambo ya kampeni pamoja na uchaguzi, na sasa baada ya hayo yote kumalizika yuko tayari kurejea kwenye uwanja wake wa kujidai, yaani muziki.
Binamu amesema kuwa ana kazi nyingi ambazo amezifanya na anaendelea kufanya zingine, “Kweli nina kazi wala sio kazi moja wala sio kazi mbili, yani nina kazi kadhaa na wiki ijayo narekodi nyingine,” aliiambia Planet Bongo ya East Africa Radio. “ lakini haya mambo ya uchaguzi...