Masai Nyotambofu kuachia mbili kali
MSANII wa vichekesho, Gilliady Severine ‘Masai Nyotambofu’ anayeyekuja kwa kasi katika muziki wa kizazi kipya, hivi karibuni ataachia ngoma zake mbili. Masai Nyotambofu alisema jana kuwa nyimbo hizo tayari zimekamilika, hivyo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Jan
Noorah: Nilikata tamaa ya kuachia nyimbo baada ya ngoma mbili kali za mwisho kuchukuliwa poa
9 years ago
Bongo524 Dec
Barnaba kuachia video mbili alizoshoot Afrika Kusini

Barnaba amesema atafungua mwaka 2016 kwa kuachia video mbili moja ikiwa ya wimbo ‘Nakutunza’aliyomshirikisha Jose Chameleone wa Uganda.
Muimbaji huyo ambaye pia ni mwandishi mzuri wa nyimbo, ameiambia Bongo5 kuwa video nyingi za wasanii zilizotoka zimemfanya aweke zake kapuni ili atoe mwakani.
“Mwaka huu hatuwezi tena kutoa video kutokana na population ya wasanii kutoa video. Watu wanaojua marketing ya muziki wanajipanga na kuangalia muda sahihi wa kuachia video. Nashukuru Mungu video...
10 years ago
CloudsFM27 Apr
Baada ya Frolah Mvungi kujifungua,ajipanga kuachia filamu mbili
Baada ya kujifungua mtoto wa kiume aitwaye Afrika,mwigizaji wa filamu za Kibongo,Florah Mvungi amejipanga kuachia filamu mbili kwa mpigo.
Mume wa msanii huyo,msanii H.Baba akizungumza kwa niaba ya mkewe alisema kuwa kwa sasa yeye na mkewe ni muda wao wa kufanya kazi kwani wana mpango wa kuachia filamu mbili mpya kwa mpigo ambazo hajazitaja jina.
‘Unajua tulipanga tuzae watoto wawili tunashukuru mipango yetu imetimia sasa ni muda wa kufanya kazi,nitaachia ngoma yangu mpya hivi karibuni na...
11 years ago
Bongo516 Sep
G-Nako kuachia ngoma mbili kwa mpigo Jumanne ijayo
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Nyotambofu atoboa kilichomkimbiza Vituko Show
MWIGIZAJI na Mchekeshaji Bongo, Griady Kahena ‘Masai Nyotambofu’ amefunguka sababu zilizomfanya apumzike kuigiza katika Kundi la Vituko Show kuwa ni bosi wake kutowajali wasanii hasa wakiwa na shida.
“Ukiangalia Vituko Show sisi magwiji tulioanza na kundi hilo, wengi tumekimbia baada ya kuona bosi haoni umuhimu wetu pamoja na kufanya kazi lakini unaambulia maarufu tu huna pesa, una shida unaazima hata simu,” anasema Nyotambofu.
Nyotambofu ambaye kwa sasa ni mtangazaji katika kipindi...
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Kamati mbili zakamilisha kujadili #rasimu, zote zapendekeza serikali mbili[VIDEO]
11 years ago
Habarileo07 Apr
Theluthi mbili kuelekea serikali mbili si tatizo
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kama wataacha ushabiki wa vyama na kujikita zaidi kwenye hoja, uwezekano wa kupatikana kwa theluthi mbili kuelekea katika mfumo wa serikali mbili upo.