Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyotambofu atoboa kilichomkimbiza Vituko Show

MWIGIZAJI na Mchekeshaji Bongo, Griady Kahena ‘Masai Nyotambofu’ amefunguka sababu zilizomfanya apumzike kuigiza katika Kundi la Vituko Show kuwa ni bosi wake kutowajali wasanii hasa wakiwa na shida.

“Ukiangalia Vituko Show sisi magwiji tulioanza na kundi hilo, wengi tumekimbia baada ya kuona bosi haoni umuhimu wetu pamoja na kufanya kazi lakini unaambulia maarufu tu huna pesa, una shida unaazima hata simu,” anasema Nyotambofu.

Nyotambofu ambaye kwa sasa ni mtangazaji katika kipindi...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Masai Nyotambofu kuachia mbili kali

MSANII wa vichekesho, Gilliady Severine ‘Masai Nyotambofu’ anayeyekuja kwa kasi katika muziki wa kizazi kipya, hivi karibuni ataachia ngoma zake mbili. Masai Nyotambofu alisema jana kuwa nyimbo hizo tayari zimekamilika, hivyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hernandez aweka wazi kilichomkimbiza Man United, VLG alimpa asilimia moja pekee ya kucheza

during the UEFA Champions League quarter-final second leg match between Real Madrid CF and Club Atletico de Madrid at Bernabeu on April 22, 2015 in Madrid, Spain.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez “Chicharito” (pichani) ameweka wazi sababu iliyomfanya aondoke Manchester United kuwa ni baada ya kocha wa timu hiyo Louis Van Gaal kumwambia kuwa hana nafasi katika kikosi chake na kama akimpa nafasi basi ana asilimia moja pekee kucheza katika nafasi ya ushambuliaji ambayo ndiyo anacheza mchezaji huyo.

Akinukiliwa na gazeti la Hispania la Marca, Hernandez alisema kuwa kocha LVG alimuita kuzungumza nae...

 

11 years ago

Habarileo

Vituko msiba wa Mandela

MKALIMANI aliyekuwa akitafsiri kwa alama kwa ajili ya walemavu wasiosikia yaliyokuwa yakisemwa na viongozi na watu mbalimbali katika mazishi ya kitaifa ya kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika uwanja wa FNB, Johannesburg, Jumanne alipatwa na uchizi jukwaani.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo5

Navy Kenzo watumia 80% ya malipo ya show kufanya maandalizi ya show hiyo

Ili msanii afanikiwe anahitajika awe mwepesi katika kuwekeza katika kazi zake ili kujiongezea thamani ya kazi yake. Wapo wasanii wengi ambao wanajinyima kufanya starehe na mambo mengine ya kimaisha ili wawekeze katika kazi pesa wanazopata kwenye shows pamoja na vipato vingine. Nahreel amesema kuwa yeye na Aika wanaounda Navy Kenzo walitumia asilimia 80 ya pesa […]

 

10 years ago

Habarileo

Vituko vyaibuka kura za maoni

KURA za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimefanyika kwa utulivu katika maeneo mengi nchini, huku baadhi ya maeneo kukiibuka hitilafu zilizosababisha baadhi ya wanachama kulala mahabusu.

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WENYE VITUKO DUNIANI

Wakati kila mtu akiamini kuwa marais au viongozi wa nchi ni watu makini na wastaarabu hasa katika kufanya mambo yanayoendana na maadili na tamaduni za nchi zao, viongozi hawa ni kinyume chake ambapo katika vipindi tofauti vya utawala wao wameacha historia ya vituko mbalimbali vinavyowaacha wanahistoria wengi midomo wazi kwa kutoendana kabisa na nyadhifa walizonazo. Songa nayo… Lyndon B. Johnson
Alikuwa rais wa 36 wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba vituko tupu

MWENYEKITI wa CHADEMA, Freeman Mbowe ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, jana alinusuru mchakato wa uchaguzi wa mwenyekiti wa muda baada ya kuibuka vituko. Mbowe katika ushauri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani