Ommy Dimpoz ashoot video mbili Marekani na Afrika Kusini
Baada ya ushindi wa tuzo ya Afrimma 2015, Ommy Dimpoz ali-tease nyimbo mbili tofauti Instagram akiashiria kuwa anakaribia kupakua wimbo mpya. Katika post hizo mr PKP aliandika; “Vipi? Mko Tayari Baada ya Uchaguzi Tuachie MABODY?”, na nyingine “I can’t wait @nahreel on the beat”. Lakini kuna uwezekano kionjo ulichokisikia kisiwe ni cha wimbo utakaotoka kwasababu […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Dec
Exclusive: Ommy Dimpoz aliwahi kulala jela Marekani, hii ni sababu (Video)
![12301302_781657848613350_1077518386_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301302_781657848613350_1077518386_n-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz amewahi kun*ea ndoo za gereza la Marekani.
Ni lini na kwasababu gani? Dimpoz amefunguka kwenye exclusive interview na Bongo5.
“Sikuwahi katika maisha yangu kufikiria kama ipo siku nitalala jela,” anasema. “Nililala jela kabisa na kubadilisha nguo kabisa nikavaa zile za orange, yaani kama Prison Break unavyoiona ile movie,” ameeleza.
Ommy Dimpoz amesema yote hayo yalitokea miezi kadhaa iliyopita alipokuwa ameenda Marekani kutumbuiza.
“Kosa lilikuwa kwamba nilikuwa naenda kwenye...
9 years ago
Bongo510 Sep
Video: Dj D-Ommy akiongelea show ya Bahrain na Afrika Kusini
10 years ago
Bongo516 Oct
Inspector Haroun ashoot video mbili, atazituma Japan kufanyiwa ‘editing’
9 years ago
Bongo524 Dec
Barnaba kuachia video mbili alizoshoot Afrika Kusini
![Barnaba Elias](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Barnaba-Elias-300x194.jpg)
Barnaba amesema atafungua mwaka 2016 kwa kuachia video mbili moja ikiwa ya wimbo ‘Nakutunza’aliyomshirikisha Jose Chameleone wa Uganda.
Muimbaji huyo ambaye pia ni mwandishi mzuri wa nyimbo, ameiambia Bongo5 kuwa video nyingi za wasanii zilizotoka zimemfanya aweke zake kapuni ili atoe mwakani.
“Mwaka huu hatuwezi tena kutoa video kutokana na population ya wasanii kutoa video. Watu wanaojua marketing ya muziki wanajipanga na kuangalia muda sahihi wa kuachia video. Nashukuru Mungu video...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*VBl95B5X10*3YG1TtwiiPlA1m9yUxXtAD-M*f2hmaDazbjBUF4GdyCHfkfRQUuM8Ii30IF5n0RLzGD7jGAqprJ/OMMY2.jpg)
OMMY DIMPOZ AFUNGUKIA KUKAMATWA MAREKANI
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/diamond-23.jpg)
DIAMOND, OMMY DIMPOZ WAZINGUANA MAREKANI!
11 years ago
CloudsFM05 Aug
OMMY DIMPOZ AKWEA PIPA KWENDA MAREKANI KUWABURUDISHA WATANZANIA WAISHIO HUKO
STAA wa ngoma ya Ndagushima,Omar Nyembo, Mr. Poz Kwa Poz,leo anaelekea nchini Marekani kwa ajili ya Ndagushima Night, shoo ambayo imeandaliwa maalum kwa ajili ya watanzania watakaokuwa wamemaliza mkutano na rais Jakaya Kikwete jijini Houston Marekani.
9 years ago
Bongo502 Nov
Ommy Dimpoz ashinda tuzo Marekani, aingia studio kurekodi na Eddy Kenzo
![12071024_1489877797975917_850313823_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12071024_1489877797975917_850313823_n-94x94.jpg)
10 years ago
CloudsFM13 Aug
OMMY DIMPOZ AZITOSA SHOO ZA MAREKANI NA KURUDI BONGO KWA AJILI FIESTA
STAA wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz Kwa Poz hivi karibuni aliondoka Bongo na kuelekea nchini Marekani kupiga shoo mbili, baada ya kumaliza mchongo huo kwa mafanikio makubwa akapata mashavu mengine kadhaa ya kuendelea kupiga shoo pande zile lakini ameamua kuzitosa na kurudi Bongo kwa ajili ya tamasha la #Serengetifiesta 2014 ambayo itafanyika Ijumaa hii ndani ya uwanja wa Kaitaba.