OMMY DIMPOZ AFUNGUKIA KUKAMATWA MAREKANI
![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*VBl95B5X10*3YG1TtwiiPlA1m9yUxXtAD-M*f2hmaDazbjBUF4GdyCHfkfRQUuM8Ii30IF5n0RLzGD7jGAqprJ/OMMY2.jpg)
Mkali wa miondoko ya Bongo Fleva, Ommy Dimpoz. Stori: Shani Ramadhani MKALI wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ameibuka na kufungukia ishu iliyozagaa mitandaoni kuwa alikamatwa Marekani. Picha iliyozua utata. Akipiga stori mbili tatu na paparazi wetu, Dimpoz alisema picha zinazomwonesha akiwa chini ya ulinzi si tukio la kweli bali ni sehemu ya video ya wimbo wake mpya ambayo alikwenda… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/diamond-23.jpg)
DIAMOND, OMMY DIMPOZ WAZINGUANA MAREKANI!
9 years ago
Bongo517 Oct
Ommy Dimpoz ashoot video mbili Marekani na Afrika Kusini
9 years ago
Bongo530 Dec
Exclusive: Ommy Dimpoz aliwahi kulala jela Marekani, hii ni sababu (Video)
![12301302_781657848613350_1077518386_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301302_781657848613350_1077518386_n-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz amewahi kun*ea ndoo za gereza la Marekani.
Ni lini na kwasababu gani? Dimpoz amefunguka kwenye exclusive interview na Bongo5.
“Sikuwahi katika maisha yangu kufikiria kama ipo siku nitalala jela,” anasema. “Nililala jela kabisa na kubadilisha nguo kabisa nikavaa zile za orange, yaani kama Prison Break unavyoiona ile movie,” ameeleza.
Ommy Dimpoz amesema yote hayo yalitokea miezi kadhaa iliyopita alipokuwa ameenda Marekani kutumbuiza.
“Kosa lilikuwa kwamba nilikuwa naenda kwenye...
11 years ago
CloudsFM05 Aug
OMMY DIMPOZ AKWEA PIPA KWENDA MAREKANI KUWABURUDISHA WATANZANIA WAISHIO HUKO
STAA wa ngoma ya Ndagushima,Omar Nyembo, Mr. Poz Kwa Poz,leo anaelekea nchini Marekani kwa ajili ya Ndagushima Night, shoo ambayo imeandaliwa maalum kwa ajili ya watanzania watakaokuwa wamemaliza mkutano na rais Jakaya Kikwete jijini Houston Marekani.
9 years ago
Bongo502 Nov
Ommy Dimpoz ashinda tuzo Marekani, aingia studio kurekodi na Eddy Kenzo
![12071024_1489877797975917_850313823_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12071024_1489877797975917_850313823_n-94x94.jpg)
10 years ago
CloudsFM13 Aug
OMMY DIMPOZ AZITOSA SHOO ZA MAREKANI NA KURUDI BONGO KWA AJILI FIESTA
STAA wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz Kwa Poz hivi karibuni aliondoka Bongo na kuelekea nchini Marekani kupiga shoo mbili, baada ya kumaliza mchongo huo kwa mafanikio makubwa akapata mashavu mengine kadhaa ya kuendelea kupiga shoo pande zile lakini ameamua kuzitosa na kurudi Bongo kwa ajili ya tamasha la #Serengetifiesta 2014 ambayo itafanyika Ijumaa hii ndani ya uwanja wa Kaitaba.
9 years ago
Bongo508 Oct
Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
10 years ago
GPL20 Jan