OMMY DIMPOZ AZITOSA SHOO ZA MAREKANI NA KURUDI BONGO KWA AJILI FIESTA
STAA wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz Kwa Poz hivi karibuni aliondoka Bongo na kuelekea nchini Marekani kupiga shoo mbili, baada ya kumaliza mchongo huo kwa mafanikio makubwa akapata mashavu mengine kadhaa ya kuendelea kupiga shoo pande zile lakini ameamua kuzitosa na kurudi Bongo kwa ajili ya tamasha la #Serengetifiesta 2014 ambayo itafanyika Ijumaa hii ndani ya uwanja wa Kaitaba.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLOMMY DIMPOZ, VANESSA MDEE WAFUNIKA FIESTA DAR
10 years ago
CloudsFM12 Dec
Ommy Dimpoz akizungumzia shoo ya After Skul Bash itakayofanyika kesho Jumamosi,Escape One,Mikocheni
Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz akizungumzia shoo ya After Skul Bash kwenye kipindi cha Xxl cha Clouds fm,akiwa na Dj Fetty na B Dozen,shoo hiyo itafanyika kesho pande za Escape One,Mikocheni,jijini Dar.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/diamond-23.jpg)
DIAMOND, OMMY DIMPOZ WAZINGUANA MAREKANI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*VBl95B5X10*3YG1TtwiiPlA1m9yUxXtAD-M*f2hmaDazbjBUF4GdyCHfkfRQUuM8Ii30IF5n0RLzGD7jGAqprJ/OMMY2.jpg)
OMMY DIMPOZ AFUNGUKIA KUKAMATWA MAREKANI
9 years ago
Bongo517 Oct
Ommy Dimpoz ashoot video mbili Marekani na Afrika Kusini
9 years ago
Bongo502 Nov
Ommy Dimpoz ashinda tuzo Marekani, aingia studio kurekodi na Eddy Kenzo
![12071024_1489877797975917_850313823_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12071024_1489877797975917_850313823_n-94x94.jpg)
11 years ago
CloudsFM05 Aug
OMMY DIMPOZ AKWEA PIPA KWENDA MAREKANI KUWABURUDISHA WATANZANIA WAISHIO HUKO
STAA wa ngoma ya Ndagushima,Omar Nyembo, Mr. Poz Kwa Poz,leo anaelekea nchini Marekani kwa ajili ya Ndagushima Night, shoo ambayo imeandaliwa maalum kwa ajili ya watanzania watakaokuwa wamemaliza mkutano na rais Jakaya Kikwete jijini Houston Marekani.
9 years ago
Bongo530 Dec
Exclusive: Ommy Dimpoz aliwahi kulala jela Marekani, hii ni sababu (Video)
![12301302_781657848613350_1077518386_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301302_781657848613350_1077518386_n-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz amewahi kun*ea ndoo za gereza la Marekani.
Ni lini na kwasababu gani? Dimpoz amefunguka kwenye exclusive interview na Bongo5.
“Sikuwahi katika maisha yangu kufikiria kama ipo siku nitalala jela,” anasema. “Nililala jela kabisa na kubadilisha nguo kabisa nikavaa zile za orange, yaani kama Prison Break unavyoiona ile movie,” ameeleza.
Ommy Dimpoz amesema yote hayo yalitokea miezi kadhaa iliyopita alipokuwa ameenda Marekani kutumbuiza.
“Kosa lilikuwa kwamba nilikuwa naenda kwenye...