Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hakuna kanuni za kumvua uongozi Ngeleja-Blandes

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, Gosbert Blandes amesema kuwa, hakuna kanuni za bunge zinazoruhusu kumwondoa Mwenyekiti wa kamati hiyo, William Ngeleja kama ambavyo maazimio nane ya bunge yalivyoelekeza kuadhibiwa kwa wenyeviti waliotajwa katika kashfa za kutafuna Sh bilioni 307 za akaunti ya Escrow.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Uongozi si hati miliki

MAFANIKIO ni jambo la kujivunia kwa mwanasiasa yeyote aliyekabidhiwa dhamana ya uongozi wa taifa lolote lenye kiu ya kupiga hatua kubwa za kimaendeleo pamoja na kuboresha maisha ya wananchi wake....

 

11 years ago

GPL

MANGULA AWATAKA VIONGOZI WA MATAWI KUSIMAMIA IPASAVYO KANUNI ZA UCHAGUZI, UONGOZI NA MAADILI‏

Makamu mwenyekiti taifa wa chama cha mapinduzi (CCM) Phillip Mangula. Makamu mwenyekiti taifa wa chama cha mapinduzi (CCM) Phillip Mangula amewataka viongozi wa matawi kusimamia ipasavyo kanuni za uchaguzi na uongozi na maadili wa chama hicho kwa kupiga vita rushwa hasa kuelekea katika chaguzi za serikali za mitaa zinatarajiwa kufanyika mwaka huu. Kauli hiyo ameitoa siku ya jana  jijini Dar es salaam katika salama za mwaka...

 

10 years ago

Dewji Blog

NAPE: Hakuna mgombea atakayepitishwa CCM kwa presha za makundi, ni kwa kukidhi vigezo vya kanuni na katiba za chama tu

NA BASHIR NKOROMO

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe.

Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya magazeti ya Habari Corporation, na Mwananchi Communication Ltd, jijini Dar es Salaam, leo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, mfumo wa CCM katika kuwapata wagombea ni imara kiasi kwamba hautaweza kuathiriwa na presha za makundi wakati wa kuteua mgombea urais katika uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Owenya ambwaga Komu, Machemli achemka, Blandes abwaga ubunge

>Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Lucy Owenya amewabwaga makada wanane wa chama hicho, akiwamo Mkurugenzi wa Fedha wa Chadema, Anthony Komu katika kura za maoni kuwania ubunge Jimbo la Moshi Vijijini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matatani kwa kumvua nguo mwanamke Kenya

Wafanyakazi wa basi moja waliotuhumiwa kwa kumnyanyasa kimapenzi mwanamke wanakabiliwa na hukumu ya kifo baada ya kushitakiwa kwa kosa la wizi wa mabavu.

 

10 years ago

Vijimambo

Spika: Sijapokea barua ya kumvua Zitto ubunge.

Wakati Spika wa Bunge, Anne Makinda, akisema hawezi kumtangaza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kuwa siyo mbunge hadi atakapopata barua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema bado hawajaandika barua kuiarifu Nec, kwa kuwa hilo siyo jambo kubwa ambalo chama kinapaswa kuhangaika nalo kwa sasa.

Spika Makinda aliwaambia waandishi wa habari nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kuwa ofisi yake haiwezi...

 

10 years ago

BBCSwahili

100 wakamatwa kwa kumvua nguo mwanamke Kenya

Polisi mjini Nairobi wamewakamata watu 100 katika msako baada ya mwanamke mwingine kuvuliwa nguo katika mtaa wa mabanda wa Kayole mjini Nairobi.

 

10 years ago

GPL

MABOSI LAKE OIL WADAIWA KUMVUA NGUO MFANYAKAZI

Mfanyakazi wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil, Deocres Deus Ruta (32) anayedai kunyanyanswa na mabosi zake. Stori:Makongoro Oging’
Baadhi ya vigogo wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil wanadaiwa kumvua nguo mfanyakazi wao Deocres Deus Ruta (32) (pichani)ambaye ni dereva wao pia vijana wawili ambao siyo wafanyakazi wa kampuni hiyo. Akizungumza katika ofisi za gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita Ruta alidai kwamba Desemba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani