Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Owenya ambwaga Komu, Machemli achemka, Blandes abwaga ubunge

>Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Lucy Owenya amewabwaga makada wanane wa chama hicho, akiwamo Mkurugenzi wa Fedha wa Chadema, Anthony Komu katika kura za maoni kuwania ubunge Jimbo la Moshi Vijijini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ridhiwani Kikwete ambwaga madega ubunge Chalinze

Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete ameibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha kura za maoni za kuwania ubunge katika Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani.

 

11 years ago

Mwananchi

Ridhiwani Kikwete ambwaga Madega ubunge Chalinze

>Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete ameibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha kura za maoni za kuwania ubunge katika Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani.

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE LUCY OWENYA AKABIDHI JEZI KWA TIMU ZILIZOFUZU ROBO FAINALI YA LUCY OWENYA CUP 2015

Dkt Fidelis Owenya akikabidhi jezi kwa vilabu nane vilivyo fuzu kucheza hatua ya robo fainali katika mashindano ya kombe la Mbunge lijulikanalo kama Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Moshi vijijini.Baadhi ya iongozi wa timu zilizofuzu hatua ya robo fainali wakifunga jezi zao mara baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya hatua ya robo fainali. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

WEMA ACHEMKA KUMZAWADIA DIAMOND

Na Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Wema Isaack Sepetu ameshindwa kujibu mapigo ya mwandani wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kutompa zawadi yoyote katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee uliopo Posta jijini Dar. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaack Sepetu akiwa na mwandani wake Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Kutokana na msanii Diamond kumpa zawadi ya gari aina...

 

10 years ago

Habarileo

Hakuna kanuni za kumvua uongozi Ngeleja-Blandes

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, Gosbert Blandes amesema kuwa, hakuna kanuni za bunge zinazoruhusu kumwondoa Mwenyekiti wa kamati hiyo, William Ngeleja kama ambavyo maazimio nane ya bunge yalivyoelekeza kuadhibiwa kwa wenyeviti waliotajwa katika kashfa za kutafuna Sh bilioni 307 za akaunti ya Escrow.

 

9 years ago

Raia Mwema

Machemli aamsha matumaini mapya Ukerewe

ALIYEKUWA Mbunge wa Ukerewe kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Salvatory

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Daily News

Chadema now picks Komu for Moshi Rural seat


Chadema now picks Komu for Moshi Rural seat
Daily News
THE Central Committee (CC) of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) has picked Mr Anthony Komu to vie for the Moshi Rural Constituency, under the ticket of Coalition of Four opposition Parties (Ukawa). Speaking here yesterday, Chadema's ...

 

9 years ago

Mwananchi

Mbatia atwaa Vunjo, Komu mshindi Moshi Vijijini

Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza James Mbatia wa NCCR Mageuzi kuwa mbunge mteule wa jimbo la Vunjo huku kada wa Chadema, Anthony Komu naye akiibuka mshindi katika jimbo la Moshi Vijijini lililokuwa linaongozwa na Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami kupitia CCM.

 

10 years ago

Mwananchi

Anthony Komu: Dk Chami ameshindwa kazi Moshi Vijijini

Anthony Calist Komu ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Moshi Vijijini kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa tiketi ya Chadema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani