Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani Kikwete ambwaga Madega ubunge Chalinze

>Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete ameibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha kura za maoni za kuwania ubunge katika Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ridhiwani Kikwete ambwaga madega ubunge Chalinze

Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete ameibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha kura za maoni za kuwania ubunge katika Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani.

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE

Ridhiwani Kikwete akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupiga kura mjini Chalinze jana.
Na John Bukuku   Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kupitia CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo kwa kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo hayo rasmi yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7, 2014 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na  Msimamizi...

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE AZIDI KUIPASUA CHALINZE KATIKA KUSAKA KURA ZA UBUNGE

 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kifuleta,Kata ya Mbwewe jana Machi 23,2013   Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini,Mzee Rajab Seif Kabeilwa ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Mrisho Kikwete ambaye ni Babu yake,wakati alipokwenda kumsalimia kijijini kwake,Pongwe Kiona jana Machi 23,2013. Mgombea Ubunge katika Uchaguzi...

 

10 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE KUTETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, ACHUKUA FOMU LEO

????????????????????????????????????Mh. Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akisalimiana na Diwania wa Kata ya Bwilingu Bw, Ahmed Masser wakati alipowasili katika eneo la mkutano uliofanyika mji mdogo wa Chalinze jana ukiwa na lengo la kuelezea utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM uliofanywa na Mbunge huyo kwa kipindi cha mwaka mmoja katika huduma za Afya, Elimu, Maji, Miundombinu, Uchumi, Michezo na amaendeleo mengine ya kijamii.Mh. Ridhiwania Kikwete ametanganza rasmi jana katika mkutano huo nia yake ya...

 

10 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE KUTETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, ACHUKUA FOMU LEO‏

Mh. Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akisalimiana na wananchi mbalimbali wakati alipowasili katika eneo la mkutano mjini Chalinze. Mh. Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akizungumza jambo na Katibu wake Bw. Idd Swala huku Diwani wa Kata ya Bwilingu Ahmed Nasser akisikiliza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Bw.ndugu Majid Mwanga. Mh. Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akizungumza...

 

11 years ago

Michuzi

CCM YAMTEUA NDG. RIDHIWANI KIKWETE KUWA MGOMBEA WA UBUNGE KWENYE UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

DODOMA,Tanzania
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na mbunge wa zamani wa jimbo hilo, marehemu Said Mwanamdogo.
Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya CCM kupitia Idara ya Itikadi na uenezi CCM, imesema wakati uzinduzi wa kampeni za CCM katika uchaguzi huo utafanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kampeni za zitaongozwa na Katibu wa...

 

11 years ago

GPL

WENGI WAMPA UBUNGE RIDHIWANI CHALINZE

Mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwan Kikwete. WANANCHI wa vijiji kadhaa vilivyomo katika Jimbo la Chalinze, ambalo Aprili 6, mwaka huu litafanya uchaguzi mdogo wa Ubunge, wamempa nafasi kubwa ya kuibuka mshindi mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Ijumaa katika vijiji saba vya jimbo hilo, wengi wa waliohojiwa kuhusu mshindi wa nafasi hiyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani