MABOSI LAKE OIL WADAIWA KUMVUA NGUO MFANYAKAZI
Mfanyakazi wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil, Deocres Deus Ruta (32) anayedai kunyanyanswa na mabosi zake. Stori:Makongoro Oging’ Baadhi ya vigogo wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil wanadaiwa kumvua nguo mfanyakazi wao Deocres Deus Ruta (32) (pichani)ambaye ni dereva wao pia vijana wawili ambao siyo wafanyakazi wa kampuni hiyo. Akizungumza katika ofisi za gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita Ruta alidai kwamba Desemba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Dec
Matatani kwa kumvua nguo mwanamke Kenya
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
100 wakamatwa kwa kumvua nguo mwanamke Kenya
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPL
BILIONEA LAKE OIL ATOWEKA
11 years ago
GPL
BILIONEA LAKE OIL AJISALIMISHA POLISI
11 years ago
TheCitizen19 Aug
LAKE ZONE: Oil adulteration rate declines by 71pc
11 years ago
Habarileo30 Apr
Lake Oil yatoa msaada kwa hospitali tatu
KAMPUNI ya Lake Oil imetoa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya milioni 11.3 katika hospitali tatu za halmashauri za manispaa za Ilala, Temeke na Kinondoni. Msaada huo kwa hospitali za Mwananyamala (Kinondoni), Amana (Ilala) na Temeke, unalenga kupunguza changamoto za utoaji huduma za afya katika hospitali za umma nchini.
10 years ago
Vijimambo18 Mar
Spika: Sijapokea barua ya kumvua Zitto ubunge.

Spika Makinda aliwaambia waandishi wa habari nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kuwa ofisi yake haiwezi...
10 years ago
Habarileo17 Jan
Hakuna kanuni za kumvua uongozi Ngeleja-Blandes
MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, Gosbert Blandes amesema kuwa, hakuna kanuni za bunge zinazoruhusu kumwondoa Mwenyekiti wa kamati hiyo, William Ngeleja kama ambavyo maazimio nane ya bunge yalivyoelekeza kuadhibiwa kwa wenyeviti waliotajwa katika kashfa za kutafuna Sh bilioni 307 za akaunti ya Escrow.