Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hali ya Devota yaanza kuimarika

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Morogoro, Dk Ritha Lyamuya amesema hali ya mtoto Devotha Malole aliyefichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa miaka mitano inaimarika na kwamba bado anapatiwa matibabu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA 17: Mifupa ya mtoto yaanza kuimarika

KATIKA wiki ya 17 ya ujauzito, mwili wa mtoto unazidi kuimarika na jambo kubwa ambalo linatokea katika wiki hii ni kuzidi kuimarika kwa mifupa yake. Mifupa inabadilika kutoka kuwa ile...

 

10 years ago

GPL

HALI YA PELE YAZIDI KUIMARIKA BAADA YA UPASUAJI WA TEZI DUME

AFYA ya aliyekuwa staa wa timu ya taifa ya Brazil, Pele inazidi kuimarika baada ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume katika Hospitali ya Albert Einstein mjini Sao Paulo nchini Brazil.  Hospitali hiyo imeeleza kuwa Pele mwenye umri wa miaka 74 anaendelea vizuri baada ya upasuaji huo uliofanyika wiki hii. Pele aliwahi kulazwa katika hospitali hiyo takriban miezi sita iliyopita kwa upasuaji wa dharura ili kuondoa mawe katika figo...

 

10 years ago

Vijimambo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo 
  Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam.  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...

 

10 years ago

Michuzi

HALI YA HEWA YA ZAMANI YAANZA KUREJEA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO

Baada ya kukosekana mvua kwa muda mrefu katika maeneo yanayozunguka Mlima Kilimanjaro kutokana na uharibifu wa mazingira ikiwa ni pamoja na ukataji wa mitim, hali ya zamani imeanza kurejea.Kurejea kwa hali hiyo kumetokana na jitihada za mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) ,kushiriki katika utunzaji wa mazingira kwa kuzuia wananchi walioishi jirani na maeneo yanayozunguka mlima Kilimanjaro kuingia katika eneo la nusu maili kufanya...

 

11 years ago

GPL

UTAJIRI WA DEVOTA WAWASHTUA WASANII

Stori: Mayasa Mariwata  
MSHANGAO! Baadhi ya wasanii wa Klabu ya Bongo Movie Unity wamejikuta wakipigwa butwaa baada ya kutinga nyumbani kwa staa mwenzao, Devota Mbaga ambaye ni katibu wa klabu hiyo na kukuta akiishi maisha ya kifahari. Katibu wa klabu ya Bongo Muvi, Devota Mbaga. Akipiga stori na gazeti hili, mmoja wa wasanii ambao walitia timu nyumbani kwa msanii huyo, Kigamboni, Dar ambaye hakuwa tayari jina lake...

 

10 years ago

GPL

DEVOTA MBIONI KURITHI MIKOBA YA MTITU

Na Gladness Mallya
BAADA ya hivi karibuni Katibu wa Bongo Movie Unity, William Mtitu kutangaza kujiuzulu na kuiacha nafasi hiyo wazi, Katibu Msaidizi, Devota Mbaga amefunguka kuwa anajiandaa kushika nafasi na kwamba kujiuzulu kwake hakusaidii chochote kwani wanachama wanahitaji fedha. Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Devota Mbaga. Akistorisha na paparazi wetu Devota alisema hatua ya Mtitu kujiuzulu haisaidii kitu,...

 

10 years ago

GPL

DEVOTA AWAKUMBUKA MZEE SMALL, KUAMBIANA

Stori: Rhoda Josiah WAKATI wasanii mbalimbali wakijumuika pamoja katika kisomo cha kuwakumbuka marehemu kilichotayarishwa na Bongo Movie jijini Dar juzikati, mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga, amejikuta kwenye simanzi nzito akiwakumbuka Mzee Small na Adam Kuambiana, akisema walikuwa watu wake wa karibu aliotoka nao mbali. Mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga. “Siku ya leo ni...

 

11 years ago

GPL

DEVOTA ACHEKELEA OFISI BONGO MOVIE

Stori: mayasa mariwata MUIGIZAJI wa filamu nchini, ambaye ni Katibu wa klabu ya Bongo Movie Unity, Devota Mbaga amesema amefurahi sana kuona kundi lao likipata ofisi za kuendeshea kazi zao. Muigizaaji wa filamu nchini, ambaye ni Katibu wa klabu ya Bongo Movie Unity, Devota Mbaga (kushoto pichani). Akipiga stori na paparazi wetu, alisema kwa kipindi kirefu klabu hiyo haikuwa na ofisi hivyo akiwa kama kiongozi muda wote aliumiza...

 

11 years ago

GPL

MIAKA 20 YA NDOA, DEVOTA AZAWADIWA GARI

Stori: Hamida Hassan Katibu Msaidizi wa Bongo Movie Unity, Devota Mbaga amezawadiwa gari aina ya Toyota Harrier Lexus na mumewe aliyemtaja kwa jina la Mr. Mbaga baada ya kudumu katika ndoa kwa muda wa miaka 20. Devota Mbaga Akizungumza na Ijumaa, Devota alisema anamshukuru Mungu kwa kukaa katika ndoa yake kwa amani na hatimaye kutimiza miaka hiyo kwani ni wachache wanaotimiza umri huo.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani