Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTAJIRI WA DEVOTA WAWASHTUA WASANII

Stori: Mayasa Mariwata  
MSHANGAO! Baadhi ya wasanii wa Klabu ya Bongo Movie Unity wamejikuta wakipigwa butwaa baada ya kutinga nyumbani kwa staa mwenzao, Devota Mbaga ambaye ni katibu wa klabu hiyo na kukuta akiishi maisha ya kifahari. Katibu wa klabu ya Bongo Muvi, Devota Mbaga. Akipiga stori na gazeti hili, mmoja wa wasanii ambao walitia timu nyumbani kwa msanii huyo, Kigamboni, Dar ambaye hakuwa tayari jina lake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hali ya Devota yaanza kuimarika

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Morogoro, Dk Ritha Lyamuya amesema hali ya mtoto Devotha Malole aliyefichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa miaka mitano inaimarika na kwamba bado anapatiwa matibabu.

 

10 years ago

GPL

DEVOTA MBIONI KURITHI MIKOBA YA MTITU

Na Gladness Mallya
BAADA ya hivi karibuni Katibu wa Bongo Movie Unity, William Mtitu kutangaza kujiuzulu na kuiacha nafasi hiyo wazi, Katibu Msaidizi, Devota Mbaga amefunguka kuwa anajiandaa kushika nafasi na kwamba kujiuzulu kwake hakusaidii chochote kwani wanachama wanahitaji fedha. Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Devota Mbaga. Akistorisha na paparazi wetu Devota alisema hatua ya Mtitu kujiuzulu haisaidii kitu,...

 

11 years ago

GPL

MIAKA 20 YA NDOA, DEVOTA AZAWADIWA GARI

Stori: Hamida Hassan Katibu Msaidizi wa Bongo Movie Unity, Devota Mbaga amezawadiwa gari aina ya Toyota Harrier Lexus na mumewe aliyemtaja kwa jina la Mr. Mbaga baada ya kudumu katika ndoa kwa muda wa miaka 20. Devota Mbaga Akizungumza na Ijumaa, Devota alisema anamshukuru Mungu kwa kukaa katika ndoa yake kwa amani na hatimaye kutimiza miaka hiyo kwani ni wachache wanaotimiza umri huo.… ...

 

11 years ago

GPL

DEVOTA ACHEKELEA OFISI BONGO MOVIE

Stori: mayasa mariwata MUIGIZAJI wa filamu nchini, ambaye ni Katibu wa klabu ya Bongo Movie Unity, Devota Mbaga amesema amefurahi sana kuona kundi lao likipata ofisi za kuendeshea kazi zao. Muigizaaji wa filamu nchini, ambaye ni Katibu wa klabu ya Bongo Movie Unity, Devota Mbaga (kushoto pichani). Akipiga stori na paparazi wetu, alisema kwa kipindi kirefu klabu hiyo haikuwa na ofisi hivyo akiwa kama kiongozi muda wote aliumiza...

 

10 years ago

GPL

DEVOTA AWAKUMBUKA MZEE SMALL, KUAMBIANA

Stori: Rhoda Josiah WAKATI wasanii mbalimbali wakijumuika pamoja katika kisomo cha kuwakumbuka marehemu kilichotayarishwa na Bongo Movie jijini Dar juzikati, mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga, amejikuta kwenye simanzi nzito akiwakumbuka Mzee Small na Adam Kuambiana, akisema walikuwa watu wake wa karibu aliotoka nao mbali. Mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga. “Siku ya leo ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Devota Kasanda Mdachi-Tanzania’s Most Powerful Business Woman

dv1

By Ayoub  Mzee

 Meet Devota Kasanda Mdachi  the Tanzania Tourist  Board ‘s Marketing Director, the first woman to hold this position in  Tanzania. She  is   billed  as  Tanzania’s  most  powerful  business woman  by  Newdeal  Africa – based  in London. It’s been a ground breaking year for  her in  business .Within  a  short  time  since  her  appointment   Tanzania’s  fortunes  have  doubled  as  far  as  Tourism  is  concerned in  Tanzania

Ms. Mdachi will be based in the TTB head office in...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi,Abdallah Bulembo (katikati) akiwasili katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuungana na wasanii kwenye dua maalum ya kuwaombea wasanii waliotangulia mbele ya haki.Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity,Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere.Msanii wa vichekesho ambaye pia ni muinjilisti kwa sasa Emanuel Mgaya Maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiongoza dua kwa upande wa wakristo huku Msanii Jacob Stephen JB akiwa ameishikilia...

 

10 years ago

Raia Mwema

Ilikuwa hafla ya ghafla kwa ajili ya wasanii kuwaaga wasanii wakongwe

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani