Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HALI YA MSHAMBULIAJI WA ZAMANI WA YANGA NSA JOB SI NZURI

Muonekano wa X-Ray ya kichwa ya Nsa Job baada ya kupigwa jiwe mjini Moshi juzi Usiku. Mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Coastal Union (kulia). UCHUNGUZI  wa mwanzo wa madaktari katika Hospitali ya KCMC mjini Moshi, unaonyesha Nsa Job ameumia sana.
Rafiki yake wa karibu leo amesema bado hali ya kiungo huyo na mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Coastal Union si nzuri.
“Walifanya kipimo cha CT Scan kuangalia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SUZUKI ESCUDO INAUZWA BEI NZURI...IPO KWENYE HALI NZURI KABISA

Upande wa Kushoto unavyoonekanaUpande wa Kulia UnavyoonekanaTAARIFA KUHUSU GARI HII NI..........REGISTRATION NUMBER: T 746 AAT
MAKE: SUZUKI
MODEL: ESCUDO
MODEL NUMBER: TDIIW
BODY TYPE: STATION WAGON
COLOR: BLUE METALLIC


Year Of Manufacture:1995
ENGINE CAPACITY: 1998 cc
FUEL USED: PETROL
HALAFU NI 4WD 

TRANSIMISSION: AUTOMATIC.

GARI HII IPO KWENYE HALI NZURI KABISABEI NI MIL 6.5 Tsh.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA HII 0712 390 200kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 Kwa ndani inaonyoonekana

 

10 years ago

BBCSwahili

Mshambuliaji wa Congo yuko hali mahututi

Mshambuliaji wa timu ya Congo Rudy Guelord Bhebey Ndey yuko katika chumba cha wagonjwa mahututi baada ya kuanguka na kichwa wakati wa mechi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

News:Mto pepo hali sio nzuri

Nikiwa live katika redio chuchufm, wananchi wakilalamika kwa matendo ya sheha baada ya kumaliza kupiga kura kuwepo nje ya kituo, wakati huo huo kazi yake kuonesha vidole kwa jeshi la Polisi kuwakamata vijana na kuchukuliwa, hali […]

The post News:Mto pepo hali sio nzuri appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

CloudsFM

HALI YA AFANDE SELE SI NZURI BAADA YA KUFIWA NA MAMA WA WATOTO WAKE

Msanii wa Bongo Fleva,Afande Sele hali yake imekuwa mbaya baada ya kufiwa na mzazi mwenziye Asha Mohamed’Mama Tunda’.Msanii huyo inawezekana akawa ni moja kati ya watu maarufu hapa nchini ambao wanaongoza kwa kuwataja wenza wao sehemu tofauti tofauti ambapo zaidi ya miaka 10 amesikika akimtaja wa ubavu wake, mara kwa mara hiyo ni wakati wakiwa wanaishi pamoja na mama tunda ambaye ni mzazi mwenzake waliyezaa nae watoto wawili, wa kwanza ni Tunda pamoja na Asante Sanaa. Mama Tunda amefariki...

 

9 years ago

Dewji Blog

UN Tanzania yazindua ripoti ya Teknolojia na Ubunifu 2015, nchi za Afrika hali si nzuri

IMG_8832

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez (katikati) akiongozana na Naibu Mkurugenzi wa Utawala, Mipango na Fedha wa Chu cha Diplomasia, Bw. Bernard Achiula (suti nyeusi) mara baada ya kuwasili wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano wa Mozambique uliopo katika Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.

IMG_8864

Naibu Mkurugenzi wa Utawala, Mipango na Fedha wa Chu cha Diplomasia, Bw. Bernard Achiula akitoa neno la...

 

9 years ago

MillardAyo

China hali sio nzuri, imebidi wanunue hewa safi kwenye chupa hizi.. (+Video)

Kumekuwa na ripoti mfululizo kuhusu ishu ya hali mbaya ya hewa iliyokumba nchi ya China ikafikia hatua mpaka baadhi ya viwanda vikalazimika kufungwa kwa muda. December 14 2015 nilikusogezea ripoti ya mgahawa mmoja China kuwatoza wateja wote kama Yuan 1 ambazo ni kama Tshs. 333 hivi kwa ajili ya kupata hewa safi ndani ya mgahawa huo, […]

The post China hali sio nzuri, imebidi wanunue hewa safi kwenye chupa hizi.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ.....: MSHAMBULIAJI DANNY MRWANDA AMWAGA WINO YANGA USIKU HUU

Mshambuliaji Danny Mrwanda amemwaga wino wa kuitumikia klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam kwa mkataba wa mwaka mmoja usiku huu.
Yanga imewafanyia umafia watani zao wa jadi Simba,ambayo ilionyesha nia kubwa ya kumuhitaji Mrwanda ikiwa ni kwa hudi na uvumba na tayariilishatangaza nia yake hiyo ya kutaka kumsajili.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga kinasema kuwa,Yanga imeamua kumsajili Mrwanda kuchukua nafasi ya Said Bahanuzi aliyetolewa kwa mkopo kwenda Polisi Morogoro...

 

5 years ago

CCM Blog

SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA JOB NDUGAI AMJULIA HALI MBOWE

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefika Hospitalini Dodoma kumjulia hali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliyelazwa hapo baada ya kushambuliwa usiku wa kumkia leo na watu wasiojulikana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani