Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halle Berry amshitaki aliyekuwa mumewe

Muigizaji maarufu wa Marekani Halle Berry, amempeleka mahakamani aliyekuwa mumewe kwa kumbadilisha mwanawe rangi ya ngozi pamoja na kuweka kemikali kwenye nywele zake ili ziwe singa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hii ndio sababu ya Halle Berry kuachana na mume wake Olivier Martinez

olivier-martinez-01-800Halle Berry na Olivier Martinez wameachana kwasababu mume wake alihisi kuzidiwa mno kiuchumi na mke wake, imefahamika. Wawili hao walikutana wakati wa kuigiza filamu, Dark Tide mwaka 2010 na muda mfupi wakawa miongoni mwa wapenzi wanaovutia Hollywood. Halle alikuwa miongoni mwa waigizaji wa kike wakubwa na mumewe akiwa muigizaji maarufu Ufaransa aliyeanza kupata jina Marekani. […]

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

11 years ago

GPL

Logarusic amshitaki Tambwe

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe (kulia). Na Mwandishi Wetu
MSHAMBULIAJI wa Simba, Amissi Tambwe alitua jijini Dar es Salaam, juzi kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake klabuni hapo, lakini amekumbana na balaa. Straika huyo anayeongoza kwa mabao katika Ligi Kuu Bara msimu huu, kwanza almanusura achapwe makofi na kocha wake, Zdravok Logarusic ‘Loga’, pili ni kuwa atashitakiwa na kocha huyo ili apewe adhabu...

 

11 years ago

GPL

MBASHA AMSHITAKI GWAJIMA

stori: Waandishi Wetu Mambo juu ya mambo! mvumo mkali wenye kuogofya unaendelea kutamalaki katika ndoa ya wanamuziki zao la upako wa Injili Bongo, Emmanuel na Flora Mbasha, safari hii ‘topiki’ siyo zile tuhuma za ubakaji zilizopo mahakamani. Wanamuziki zao la upako wa Injili Bongo, Emmanuel na Flora Mbasha, Mbeba ‘niuzi’ wa awamu hii ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,...

 

10 years ago

Vijimambo

KAJALA AMSHITAKI MAMA WEMA

Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Kajala Masanja.
Stori: Mwandishi WetuKIMENUKA! Habari ya mjini kwa sasa ni bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutimiza miaka 26 tangu kuzaliwa, lakini ndani ya tukio hilo, mengine yameibuka!
Miongoni mwa yaliyoibuka kwenye sherehe hiyo iliyofanyika Jumapili iliyopita nyumbani kwa Wema, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ni madai ya mama Wema, Mariam Sepetu kudaiwa kupewa nafasi ya kutoa ‘neno la hekima’ lakini akaitumia kumvurumishia...

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi amshitaki Waziri Nyalandu

MBUNGE wa Ismani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amemtaka Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana kuhoji utendaji kazi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.

 

10 years ago

Vijimambo

*MTIKILA AMSHITAKI MOKIWA, ADAI FIDIA YA SH BILIONI 1 KWA KUDHALILISHWA

Mchungaji Christopher Mtikila, amefungua kesi katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kumshitaki Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania Dk. Valentino Mokiwa.Msingi wa kesi ni kwamba Askofu Mokiwa alimshika makalio Mtikila na kwamba kitendo hicho kilichotokea Juni 25 mwaka jana walipokutana maeneo ya Ilala, kimemdhalilisha.Mtikila alikuwa ameitwa na Askofu kujadili tamko la la Mtikila kwamba Kanisa la Anglican linajihusisha na ufisadi, ukiwemo wizi wa vifaa vya Hospitali ya Mission ya...

 

9 years ago

Global Publishers

50 Cent amshitaki Rick Ross kwa kutumia beat ya wimbo wake

50-Cent1

Curtis James Jackson III ’50 Cent’.

Mwanamuziki wa Hip Hop nchini Marekani, Curtis James Jackson III ’50 Cent’ amemfungulia mashitaka Rapa
William Leonard Roberts II ‘Rick Ross’ kwa kurap kupitia beat ya wimbo wake wa “In Da Club” wakati akiipigia promo albamu yake mpya ya Black Market.

Rick Ross Mastermind Press photo 2014

William Leonard Roberts II ‘Rick Ross’.

50 amefungua shauri hilo Connecticut, Marekani na katika viambatanisho vya kesi hiyo anasema
wimbo wake umetumiwa na Rick Ross katika mixtape yake iitwayo ‘Renzel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani