Logarusic amshitaki Tambwe
![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcp-Cymwgjbtsmh87P*rpMjXfYeE7Bi3QqykIbkBAiOWiUOLFBgo5UazcNdPBWo1Ve3elfslUijjkVteLMQCKFSV/ijumaaa.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe (kulia). Na Mwandishi Wetu MSHAMBULIAJI wa Simba, Amissi Tambwe alitua jijini Dar es Salaam, juzi kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake klabuni hapo, lakini amekumbana na balaa. Straika huyo anayeongoza kwa mabao katika Ligi Kuu Bara msimu huu, kwanza almanusura achapwe makofi na kocha wake, Zdravok Logarusic ‘Loga’, pili ni kuwa atashitakiwa na kocha huyo ili apewe adhabu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632on6xDzPuXt5CntBSmaXlLJUHIG47pLY*0wRYhIiPc4zALsCdbFFXDiCA62VvYA*I6NyNSNCbKkGDlF01Due58B/front.jpg?width=650)
MBASHA AMSHITAKI GWAJIMA
10 years ago
Habarileo09 Oct
Lukuvi amshitaki Waziri Nyalandu
MBUNGE wa Ismani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amemtaka Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana kuhoji utendaji kazi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/OvBA3ExKZn4/default.jpg)
KAJALA AMSHITAKI MAMA WEMA
Stori: Mwandishi WetuKIMENUKA! Habari ya mjini kwa sasa ni bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutimiza miaka 26 tangu kuzaliwa, lakini ndani ya tukio hilo, mengine yameibuka!
Miongoni mwa yaliyoibuka kwenye sherehe hiyo iliyofanyika Jumapili iliyopita nyumbani kwa Wema, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ni madai ya mama Wema, Mariam Sepetu kudaiwa kupewa nafasi ya kutoa ‘neno la hekima’ lakini akaitumia kumvurumishia...
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Halle Berry amshitaki aliyekuwa mumewe
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Sk9CMnR8xXo/VMXmwZdSeSI/AAAAAAACWOY/hoy7FKUlrCo/s72-c/mtikila.jpg)
*MTIKILA AMSHITAKI MOKIWA, ADAI FIDIA YA SH BILIONI 1 KWA KUDHALILISHWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Sk9CMnR8xXo/VMXmwZdSeSI/AAAAAAACWOY/hoy7FKUlrCo/s640/mtikila.jpg)
9 years ago
Global Publishers24 Dec
50 Cent amshitaki Rick Ross kwa kutumia beat ya wimbo wake
Curtis James Jackson III ’50 Cent’.
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini Marekani, Curtis James Jackson III ’50 Cent’ amemfungulia mashitaka Rapa
William Leonard Roberts II ‘Rick Ross’ kwa kurap kupitia beat ya wimbo wake wa “In Da Club” wakati akiipigia promo albamu yake mpya ya Black Market.
William Leonard Roberts II ‘Rick Ross’.
50 amefungua shauri hilo Connecticut, Marekani na katika viambatanisho vya kesi hiyo anasema
wimbo wake umetumiwa na Rick Ross katika mixtape yake iitwayo ‘Renzel...
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Logarusic: Wachezaji ‘mbumbumbu’
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Kibadeni amfunika Logarusic
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Tusker FC yamkuna Logarusic
KOCHA Mkuu wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic, juzi usiku alitinga kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa na kushuhudia mchezo mkali wa Kombe la Mapinduzi uliokuwa ukichezwa kati ya Azam FC...